Audio ya nyimbo ya #Nenda kutoka kwa @macvoice_tz inaendelea kuwa katika listi ya nyimbo kumi zinazotrend zaidi @BoomplayMusic kwa wiki ya saba mfululizo.
#Myvoiceep kutoka kwa @macvoice_tz imefikisha jumla ya streams 7 milioni katika mtandao wa @BoomplayMusic ndani ya wiki saba pekee inaendelea kuwa ep inayosikilizwa zaidi Africa Mashariki Mwaka huu.
Performance ya @maluma na @Rayvanny kwenye usiku wa tuzo za @mtvema inashika namba 2 kwenye list ya performance zinazotazamwa zaidi katika mtandao wa @Youtube.