@mafolebaraka Kwenye hili wengi watakutukana lakini hakuna kitu kibaya kama betting,haya yanayoonekana mitandaoni SI kweli ...mtu haipiti wiki anakwambia kala milioni 20 lakini maisha yake haya relate na chochote eti unawapa watu code Bure ingali ww unalipia ad ,je tunapata faida Gani..
Maelekezo rahisi sana!
FULL ILE BARAKA ALBUM IMETOKA RASMI!
💿 BEI: TSH 40,000 TU!
📲 UPO NJE YA ARUSHA?
Album yako unaweza kutumiwa kupitia WhatsApp au Email.
📍 UPO ARUSHA?
Fika WATENGWA GEAR — Mtendeni, Arusha
@jcb_makalla
📞 JCB: +255 714 003 337
WhatsApp au piga simu.
Maelekezo rahisi sana!
FULL ILE BARAKA ALBUM IMETOKA RASMI!
💿 BEI: TSH 40,000 TU!
📲 UPO NJE YA ARUSHA?
Album yako unaweza kutumiwa kupitia WhatsApp au Email.
📍 UPO ARUSHA?
Fika WATENGWA GEAR — Mtendeni, Arusha
@jcb_makalla
📞 JCB: +255 714 003 337
WhatsApp au piga simu.
Anaitwa Clarence Kimani a.k.a KIMYA. Member wa Kikosi cha Mizinga akiwakilisha +254 pale Kanairo. Kimya anawajua Watengwa since wayback na hapa anatupa masimulizi zaidi.
Watengwa ni All Over visiwani na Bara.
#fullilebaraka#watengwa#walinziwahiphop#watengwamiakamingi#WTC
Huyu ni Chizan Brain,wengi hawafahamu kwamba Chizan ni miongoni mwa waanzilishi wa kundi la Ukoo Flani MauMau,watu wengi hawajui kwamba Chizan ni Rapa noma sana
Huyu hapa anatupa kwa kifupi namna anawajua Watengwa
#fullilebaraka#watengwa#walinziwahiphop#watengwamiakamingi#WTC