BREAKING: Akiwa kwenye chumba cha upasuaji, hali ya Rais ilikuwa siyo nzuri. Alikuwa nusu kaputi. Walilazimika kumuweka kwenye mitambo ya kupumulia. Tumuombee, hali yake itengamae. #TanzaniaLeaks
@JMakamba hili jambo tuliweke katika lugha nyepesi.
👉Watanzania waishio nje wameishapita madhila ya “Permanent residence permit (PUT), haina tofauti sana na HADHI MAALUM” ambayo hawawezi kukubali kuyapitia tena katika ardhi yao ya asili, kukubali hadhi maalum ni “mwanzo” wa kukana haki ya kuzaliwa! Acheni hii… kuweni na upendo kiasi na watanzania wenzenu, Nchi yetu sote hii.
Msikilize @Liberatus80 , anatumia sana hekima kukuomba tukae chini na kuongea nanyi! Pengine mje mkae nasi face to face tuwaambie kwanini watu uishia kuchukua Uraia huku nje, lakini pia watu hawachukui Uraia huku nje sababu wanauchukia Utanzania!
@JMakamba Mh tunaomba muendelee na kukamilisha Hadhi Maalumu kwa haraka maana itaenda kuwaokoa watanzania wengi ndani ya Diaspora ambao wamebadili uraia wao kwa njia za kujiripua kwa kutumia nchi za jirani ambazo zina vita. Wanadiaspora wengi nje ni waliojilipua na wengine hawana karatasi