Kama watu walilipwa, wakaandamana, wakafanya vurugu, wakauwana, mnataka maridhiano ya nini? Na nani? ili iweje? I mean, mnataka kuridhiana na nani wakati hamhusiki na mauwaji? Mnaridhiana na criminals kwa nakisi ipi mliyonayo?
CHANDE anasema waandamanaji salasala walikuwa na SIME , mapanga, hizo video na ushahidi wa hayo yote upo wapi?
Sisi tuna ushahidi wa VIDEO askari na vyombo vya usalama wakiwa na SIRAHA ZA MOTO wakiuwa watanzania.
Acha kuleta maneno matupu we kuma.
Jaji Chande anasema kwamba waandamanaji wa maeneo ya Salasala Jijini Dar es salaam walikuwa na Mikuki na Sime na marungu.
Huyu mzee hii laana, itamtafuna yeye na kizazi chake mpaka siku wanaingia kaburini.
Baada ya ripoti ya JAJI OTHMAN CHANDE;
Natabiri wananchi kutoridhika, hasira kali na maandamano makubwa kuliko ya tarehe 29.10.2026.
Tatabiri uasi ndani ya CCM na madai ya mabadiliko ya ndani.
Natabiri dunia kuunga mkono na kuweka mashinikizo yatakayoathiri uchumi wetu.
Eti Tume imebaini kwamba Waandamanaji walilipwa,
Mara miongoni mwa Waandamanaji kulikuwa na watu ambao walipewa mafunzo,
Huyu Mzee anaongea uwongo bila hata aibu.
Hawa ni vijana wa MAFWELE wanaitwa "Tembo SABA" na kambi yao ilikuwa CHANG'OMBE POLICE STATION-Walifunga hadi Turubai.
Siku ya MO29 hawa walikuwa na kazi moja tuu-kupiga RISASI ZA VICHWA watanzania. Hapa walipigwa risasi mpaka watoto wa miaka 7 eti nao wanataka kupindua nchi.
Gari hii ambayo walikuwa wanatembelea ilijaa "RISASI" Kwenye kindoo cha lita 20. Wote tunajua Risasi za askari zinahesabiwa, hawa vibaka walitoa wapi silaha zote hizi na kwa kibali cha nani?
Nategemea kesho CHANDE na ripoti yake aje na majina ya hawa VIBAKA maana boss wao ni MAFWELE anawajua vizuri. Pale CHANG'OMBE POLICE STATION ndio ilikuwa kambi yao.
Waliuwa watanzania kwa maelfu na walionekana wakishirikiana na POLISI wenye uniform mara kwa mara (VIDEO ZA USHAHIDI ZIPO).
Kesho chande jua unaongea na taifa la vijana wenye IQ KUBWA sana na kumbu kumbu zetu zipo mtandaoni.
Kuna uwezekano baada ya Ripoti yako ukaibua vuguvugu jipya la MAANDAMANO-bado vidonda vyetu ni vibichi usilete ripoti ya kutuvuruga kabisa.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Tundu A.M Lissu akiwa gerezani kwa kesi ya uongo ya uhaini, leo ametimiza siku 262 tangu kukamatwa, kushtakiwa na kutupwa gerezani. Akiwa katika kuta za gereza la Ukonga na korido za Mahakama amechaguliwa kuwa Executive Vice Chairman of the (IDU) International Democracy Union – a global alliance of center-right political parties na leo jina lake limependekezwa katika orodha ya Tuzo ya Amani ya Nobel (Nobel Peace Prize), the most prestigious prize in the world kwa mwaka 2026. Tuzo ambayo imekuwa ikitolewa tangu mwaka 1901 (miaka 124 iliyopita). Lakini walioshiriki kumtunza gerezani, hawaongozi kwa amani na utulivu hata baada ya kujimegea ushindi wa kishindo wa 98% na kura milioni 32. Wamechukua title, wametuachia respect. ✊🏾
She shot and killed over 10,000 of her fellow Tanzanians to retain power.
Sixty days after an election she claims to have won with 98% of the vote, she is still living in hiding and only appearing in heavily controlled environments. She sends her ministers to represent her abroad instead of appearing herself, fearing to meet the same fate she imposed on Tanzanian youth.
Justice is coming, and when it does, everyone who chose to remain silent during our suffering should remain silent then as well. Hatutaki unafki…….
Mpaka sasa bado hatujui Mafwele na Msaidizi wake George Bagyemu wamekupeleka wapi ila tunamuomba Mungu wa Haki aendelee kukulinda huko uliko.
REPOST 200
#FreeNicodemusLoyore#FreeNicodemusLoyore#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
MKAKATI WA IDD AMIN MAMA KUITUMIA TUME YA JAJI OTHMAN CHANDE KUIFUTIA USAJILI CHADEMA.
Tumepewa taarifa kwamba Nduli Idd Amin Mama anataka kuitumia Tume ya Jaji Othman Chande kuifutia usajili CHADEMA.
Iko hivi kama mmemskia Mwigulu Nchemba hivi karibu amekuwa akisema kwamba kuna Chama kitafutwa, haikuwa kauli ya bahati mbaya, huo ndo mkakati wao maana wanajua CHADEMA ni tishio kwao so wanaiogopa CHADEMA kama ukoma ndo maana kila siku wanahangaika nayo.
Sasa baada ya Maandamano ya Oktoba 29 na Serikali haram ya Idd Amin Mama kuuwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi. Nduli Idd Amin Mama alimuagiza msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi aifutie usajili CHADEMA kwasababu anadai ndo iliyoratibu Maandamano, Jaji Mutungi alikataa na kusema italeta shida zaidi maana nchi bado haijapoa.
Baada ya Jaji Mutungi kukataa sasa Idd Amin Mama ameiagiza Tume ya Jaji Othuman Chande kwamba ifanye kila linalowezekana kwenye report yake iseme kwamba CHADEMA ndo chanzo cha Maandamano ya Oktoba 29 na akili yake ilivo ndogo ameiambia Tume lawama zote za mauaji ya Watanganyika zaidi ya elfu kumi zielekezwe kwa CHADEMA.
Ndio maana sasa hivi kuna Viongozi wengi wa CHADEMA wanakamatwa na kubambikwa kesi za Uhaini na Ugaidi na wengine wamepigwa sana na kulazimishwa wakubali makosa ambayo hawajatenda.
Mfano ukienda Bunda walimkamata aliyekuwa Kaimu Katibu Mkuu wa Bavicha Taifa Yohana Kaunya walimtesa sana kumvunja miguu yote miwili wakimlazimisha asema kwamba yeye ni Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa cheo ambacho hana lakin pia wakat wanamtesa walimlazimisha akubali kwamba yeye ndo aliteuliwa na Kamati Kuu ya CHADEMA kuratibu Maandamano ya Oktoba 29, Nchi mzima na kwamba yeye ndo alileta watu kutoka nchi jirani, wakamlazimisha aweke sahihi kwenye maelezo ya uwongo kwasasa Kaunya yupo Gerezani Bunda kapewa kesi ya Uhaini lakin hawezi kutembea na hakuna mtu yoyote ambae anaruhusiwa kumuona.
Ukiachana na Kaunya kuna Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kigoma Mzee Rajab Bujoro na Mwenyekiti wa CHADEMA Kasulu wamepewa kesi ya Ugaidi hawa nao waliteswa sana wakilazimishwa wakubali kwamba walipanga njama za kuingiza silaha kutoka nchi jirani.
Hao ni baadhi tu lakin kuna Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kutoka kila kona ya nchi ambao wameteswa na kuumizwa sana wakilazimishwa kukubali makosa ambayo hawajatenda.
Sasa kwenye kikao chao haram wamekubaliana kwamba Tume ya Othman Chande itapita kwa maRPC wote nchini na watapewa nakala za maelezo ya mchongo ambazo zinaonyesha baadhi ya Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wamekiri kuhusika na Maandamano ya Oktoba 29 ili wapate justification ya kuiangushia lawama zote CHADEMA then Tume itapendekeza CHADEMA ifutwe kwasababu inahatarisha Amani ya nchi.
Halafu kwasababu tayari Mutungi ameomba kikombe hiki kimuepuka, Nduli Idd Amin Mama amepanga kuteua Msajili Mpya wa Vyama vya Siasa na huyo mtu ambae atamteua kazi yake ya kwanza itakuwa ni kuifutia usajili CHADEMA.
Waliopo nyumba ya Mkakati huu ukimtoa Nduli Idd Amin Mama wengine Mzee Kikwete, Mwigulu Nchemba, Abdul mtoto wa Idd Amin Mama pamoja na baadhi ya Maofisa kutoka Vyombo vya ulinzi na usalama.