@Nashemcee Kaka kwanza nikupongeze kwa kutumia vzr kipaji chako. Pili asante na wewe kwa kuifunza jamii kwa ujumla kuhusu imani potofu kbsa kuhusu suala la kuuwa ndugu zetu wenye matatzo ya ngozi au albino naamini tukiendelea kupaza sauti kuhusu aya mambo yatafika mwisho