@fatma_karume Ubaya wa Social Media kunakuwa na hoja ya upande Mmoja tu, (Ex- parte) ila tukipata pia hoja ya upande wa pili tutaweza kujua kweli hili JINA la MBUZI linamstahili?
@BabaMwita Bro hukuwa kwenye proceedings za mahakama, hujui kilichoendelea mahakamani, hoja za utetezi hujui chochote. Acha siasa kwenye hoja za kisheria
@MariaSTsehai@SuluhuSamia@KamalaHarris Sio lazima, maana sio mara ya kwanza kwenda kwenye mikutano ya taasisi mbali mbali. Unless useme hujafurahishwa na Raisi kwenda kwenye kongamano la BAWACHA๐
@MariaSTsehai@SuluhuSamia Maria acha kuchanganya mambo, kwani viongozi wa CADEMA hawajawahi kwenda Ikulu kipindi cha maridhiano? Na je kwenye kila event Raisi anazohudhuria zote Huwa zinafanyika Ikulu?.
@ikulumawasliano@venusnyota Your @SuluhuSamia thank you for fulfilling your promise, we do appreciate on how you work hard to make sure that our beloved country excels within East Africa Region and globally. Ubarikiwe sana
@HecheJohn Brothers let's be serious. How sure are we on that screen shot. Hii inaweza tengenezwa na mtu yeyote kwa ajili ya kuleta tension. Mna udhibitisho gani wa TCRA kuwa huyo mtu ni police. Je @tanpol wamethibitisha. Achaneni na tension zisizo na maana. Fanyeni mambo ya msingi