@mangekimambi Haina tofauti na ile kauli waliitoa kuwa "watamteka mtu tutapiga kelele siku mbili tatu baada ya hapo tutatulia na maisha yataendelea" hizi kauli zinaumiza sana
@mshambuliaji Ni kweli hawa mapolisi wanatudharau na ni kweli pia wanatuona wajinga lakini hatujafikia ujinga wa kiwango chao kwa kutuletea sababu za kitoto kiasi hiki