UVCCM DODOMA MJINI
Leo tarehe 16/8/2024 UVCCM Hamasa Dodoma Mjini Tumeshiriki Mapokezi ya Melezi wetu wa Mkoa wa Dodoma Ndugu Philiph Mpango (MCC) ambaye pua ni Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania..Kazi iendelee๐๐๐๐จ๐จ๐จ
@SuluhuSamia@uvccm_tz@ccm_tanzania
TAMASHA: VIJANA NA SENSA.
Katibu Mkuu UVCCM Ndg @KenaniKihongos1 atakuwa Mgeni rasmi katika Tamasha kubwa la VIJANA NA SENSA litakalofanyika Wilayani KISHAPU mkoani SHINYANGA Tarehe 16 July 2022 ktk Viwanja vya Maganzo.
โ SISI VIJANA TUPO TAYARI KUHESABIWA.
#AlipoMamaVijanaTupo
@HildaNewton21@TunduALissu We umetumwa ilighushiwa unaushaidi, Mwambie alie kutuma kachelewa Tanzania inazidi kupata Anga la kimataifa, siasa zimewashinda ๐คฃ
@HildaNewton21 Uyo mtu mmoja hawezi amua matakwa yetu WA Tanzania ,Sisi Muungano kwetu ni zawadi kutoka Kwa Mungu, mwambie lisu atulie uko alipo aendele kufaidi pesa za wazungu atuachie Tanzania yetu
I am deeply shocked and saddened by the tragic death of Shinzo Abe. The former Prime Minister of Japan was a giant on the world stage. My deepest condolences to his family and the people of Japan.
"Tunampongeza Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa @ccm_tanzania kwa kutoa ajira, nyinyi wenyewe ni mashahidi takriban miaka sita Serikali haikuajiri watumishi wa Umma, ndani ya mwaka mmoja wa Mhe Rais @SuluhuSamia ametoa Ajira zaidi ya elfu 76" - @KenaniKihongos1, Katibu Mkuu UVCCM