Kesho kuanzia saa 4:00 hadi 5:30 asubuhi nitakuwepo kwenye #PolicyForumBreakfastDebate kujadili uwajibikaji na ni jinsi gani serikali inaweza kuongeza mapato kupitia sekta ya uziduaji. Karibu sana, unaweza kushiriki kwa kupitia Zoom.
https://t.co/o8gneSpodW
*NGOWI TV is LIVE NOW from DODOMA!!*
Ni katika kongamano la Mjadala wa Bajeti kwa Wakulima Wadogo
Stream live click this link>>>https://t.co/XAp6DlwYrk
Drop your comments on live chat.
#NgowiTV
Yaliyojiri leo katika gazeti la Mwananchi. Mzumbe tumeamua kufuata machinga mtaani, je ni kwa nini? Karibu usome makala hizi.
Uwe na jumapili njema na tulivu.