There are things your wife can do to you or for you,and you will lack sleep trying to figure out how she came to such a decision. Mimi Siku niliingia kwa hii nyumba nikapata bibi amenunua apron mbili ati ya kuvaa tukilala,yake ya tiger na yangu ya sungura iko na kamkia apa nyuma,hapa ndio nilijua nimelegeza uongozi wa ufalme wangu. Nilijiuliza maswali mingi sana. Do you know how low your wife must think of you to decide to do such a thing? Hiyo ni kumaanisha amekaa chini akafikiria na akaona mzee yangu ni nugu,yani ni mtu useless
Bwana apa sasa ndio niliangalia namna hii nikaona nisipokaa ngangari,apa watanigongea. Juu akuna heshima. Sasa si lazima nifanye ile tunaita asserting dominance. Nyumba nikaanza kuingia na somaset, kama Recce squad. Saa mbili ilikua inafika wanasongesa curtain, na mlango inafunguliwa wazi,mzee anaweza ingia any time. Tukimaliza kukula tunasimama tunaimba national anthem of East africa. Tunakaa chini sasa kuona TV. Kabla tulale naingia ceiling,napiga mabati heady,nateremka.
Niliuza uwoga hii nyumba miezi tatu mfululizo. Mwezi ya nne bibi nakwambia alikua ameingia line. Usiku ata akienda choo kukojoa,lasima aniombe ruhusa. “my husband,can i please go to the toilet?” Namwambia Yes susan,and hurry up. Weh! Bwana this thing called masculinity they will never teach you in unifasti
Kuna miaka pia ukifika you should also have a standard and grounded dress code. Hii madoido miingi unawachia vijana ya unifasti. Just dress modestly,and smell nice. Sio uko 30 years na bado unavaa long’i imekatwo katwo magoti,na kabag kwa waist kama mama mboga. Surely baba janet
"Uliza Kiatu" by H_art the Band will forever be a masterpiece. It captures that raw, authentic Kenyan love where you don't have much, but you'll walk miles just to see them smile. If shoes could talk! #KenyanMusic#UlizaKiatu
I am at an age where I cannot walk around with an indecently dressed woman in public. Napata aibu kubwa sana. Ukivaa baika ni unifuate nyuma 2 metres away kama bodyguard
If these criminals are hunted one by one from their hideouts, and shot dead, "human rights" activists will be out here shouting the loudest.
@DCI_Kenya, hunt these criminals, kidnap and finish them.
This is unacceptable!