Taasisi yoyote ya umma inaweza kufa kifo cha asili wakati wowote ule bila kujali ukongwe wake ikiwa tu itajitenga na misingi ambayo kupitia hiyo taasisi ilipata kuanzishwa.
Without winning public confidence we are the living dead.
Happy New Year CDM Family ❤
Makamu Mwenyekiti wa chama Bara akizungumza katika Kongamano la wasomi wa Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa, lililoandaliwa na Chaso, ambapo amejadili masuala mbalimbali yanayohusu demokrasia, utawala bora na nafasi ya vijana wasomi katika maendeleo ya taifa.
May 16,2026 @ChademaTZ2 ilizindua operation #katibampya, & #FreeTundulisu mjini katoro Mkoani Geita, Makamu mwenyekiti wa chama mh. @HecheJohn na Makam zanzibar walianza kwa uzinduzi wa vizimba vya chama ndani ya katoro, Vizimba vimevunjwa na wasio julikana wameondoka na bendera!
Usiku huu RCO Mwanza amedhibitisha @AdvocateSailenc Mwenyekiti CHASO Mwanza anashikiliwa Mwanza central Police station na anatuhumiwa kwa kuhamasisha maandamano ya July 7, kesho ahsubuhi Mawakili wetu watafika kutoa msaada wa kisheria. BAVICHA tutaongea kwa hatua zitakazofuata.
Chama kikuu cha Siasa Tanzania kikizungumza na Wananchi wa Karatu leo..
Asanteni Karatu #FreeTunduLissu
Endelea kuchangia chama kupitia 0744446969 Chadema HQ
Makamu Mwenyekiti Bawacha Taifa na Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Mbeya Mhe.Elizabeth Mwakimomo atakuwepo katika Kongamano Kubwa la Wanawake Mkoa wa Mbeya
#FreeLissu#KatibaMpya
Puuzeni huu uzushi. Mimi ni mzima wa afya.Naendelea kukemea Serikali, mapepo na washirika wao bila woga wala kupumzika.
Zaburi 118:17. “ Sitakufa bali nitaishi, nami nitayasimulia matendo ya BWANA.”