@godbless_lema hasa wale viongozi wanao promote amani wanasahau haki hao wakitawanywa kulia na kushoto fanya hata vurugu ili zoezi lisimame ukiwa unatafakari labda kuna option ya tatu
@SuluhuSamia Watch your back and your steps anytime @realDonaldTrump can capture you as he captured president maduro. I can't wait to see this happening soon
@bbcswahili Mwaka 2025 umekuwa mgumu sana kwa wengi – bei za vitu zikipanda, changamoto za kiuchumi na za kila siku zikiongezeka kama tulivyoona katika habari nyingi za BBC. mwaka 2026 ni mwaka wa mbinu mpya ili ku-recover madhaifu ya mwaka uliopita https://t.co/Uq1lagTUzM
Mambo yanabadilika kwa speed sana biashara zinakuja na mbinu tofauti tofauti kila siku na ili kufanikiwa unahitaji nidhamu ya matumizi ya input na output ili kutoboa, kwa wanao tafuta program ya kuendeshea biashara tumia #GavanaEdge utanishukuru https://t.co/y83jVltpYw