@NchimbiRas@bajabiri@ChademaTz@zittokabwe Wapinzani hawa wa maridhiano na nusu mkate wa Lissu?
Au act Wazalendo wa SUK?
Au tec wa waraka wa Bandari?
Au tls hii inayomsulubisha mwambukusi na shangazi fatma?
Nikuache na mwmabukusi hapo chini.
Are you serios?
We are totally broken in and out na ndo mtaji wa watawala
@NchimbiRas@bajabiri@ChademaTz@zittokabwe Mafisadi gani? Wa kutunga...
Si lowassa aliitwaga fisadi, mpaka akaundiwa M4C ilazunguka nchi nzima kuhuburi ufisadi wake, wizi, udhaifu wake na kutokuweza kwake kuongoza? Halafu social media hiyohiyo ikatumika tena mpaka wapuuzi wakadeki barabara eti tumpe urais. Hawa ndo sisi
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Warioba Butiku amesema kama Taifa tunataka kupigania haki ni lazima tusimame kwa pamoja na kuacha uoga.
Butiku amesema haki za watu na haki za umma hazitaweza kulindwa kama watu ni waoga na kuongeza kuwa taifa hili lina watu waoga hasa wasomi na wazee.
@NchimbiRas@bajabiri@ChademaTz@zittokabwe Porojo ni kudai katiba mpya, bila kutoa elimu ya uzalendo, katiba na uraia kwanza
Zingatia watz ni hawahawa waliofanyiwa mengi ya ovyo na bado wakaishia kulalamikia mitandaoni...
Wapo waliidai katiba mpya na tume huru kabla ya uchaguzi 2025 kwa maneno.. mwakani uchaguzi
@NchimbiRas@bajabiri@ChademaTz@zittokabwe Ok. Kwani kwako ya warioba inakasoro gani ambazo unataka mchakato ukianza zbadlshwe?
Hivi kam awatu hawajui hii ya sasa na hawaitumii kupata haki, mpya itawapa muujiza gani wa kudai haki zao?
kuna haja ya elimu kubwa ya kujitambua na uzalendo... Nje ya hapo ni kupoteza mda
@NchimbiRas@bajabiri@ChademaTz@zittokabwe Kabla ya kudai #KATIBAMPYA kuna haja ya kubadili mimdset na uzalendo wa watanzania.
Kumbuka katiba mpya na ya sasa hazijisimamii ila zinasimamiwa na kutekelezwa na watu na watu ndo sisi haohao watz.
Kama ya sasa tu hatuisimamii 100% je mpya itatupa ujasiri wa kuisimamia? THINK
@NchimbiRas@bajabiri@ChademaTz@zittokabwe Ya warioba unayo?
Unaona haina madhaifu yoyote? Haiitaji marekebisho?
Ulisoma ya warioba kwenye kulinda raslimali, tunu za taifa, maliasili na mipaka ya taifa? Kasome.... Inahitaji changes
Kama tu ya warioba kwa sasa inahitaji maboresho, hiyo unayotaka itatoka wapi?
@NchimbiRas@bajabiri@ChademaTz@zittokabwe Ndugu hata katiba itoke mbinguni lazima kuna ambao wataona inamakosa na kuna watu wataitumia tu kujinufaisha
Maoni ya wananchi ndo sisi watz plus uvccm na chawa wengine
shida ni watz tuna mindset za kujipenda sisi na familia zetu na sio taifa
Watz sio wazalendo kabisa
@NchimbiRas@bajabiri@ChademaTz@zittokabwe Dah hata ikija hiyo mpya, watawala wakitaka kubadili inawezekana kama watanzania ni sisi wa leo ambao hata sheria ya tume ya uchaguzi imepitishwa na tunashangaa halafu uchaguzi ukija tutalalamika tena...
Watz sisi ni watu wapole, waoga, walalamishi na wapenda porojo sio actions
@MarekaMalili Bora hizo za simba kuliko za yangaambazo hazina ubora, zimechanika kwenye tangazo tu, zikimfikia mlaji zitakuaje?
Kweli zitahimili mikikiki ya uwanjani?
Mjitafakari
Umakini hakuna