#Naomba Retweet Dears❤️🙏
👉JEZ FULHAM ipo H na A
👉27,000/=
👉0714336827
#MIKOA YOTE NATUMA
👉Kuona #JeziZingine Tembelea Upande wa #MEDIA@MissChelsea1221
🚨Ukinunua Kuanzia 3 delivery FREE nchi nzima🚨
Kikundi cha densi kutoka Uganda kiitwayo Ghetto Kids, kilijishindia nafasi ya moja kwa moja ya kuongia kwenye nusu fainali kwa kupata "Golden Buzzer" kwa onyesho lao la kusisimua na kufurahisha katika kipindi cha vipaji maarufu ya Britains Got Talent.
https://t.co/co4tWzNxLp