Nilimpa moyo wangu wote nikiamini atautunza. Kila simu yake iliniweka salama, kila tabasamu lake lilinipa matumaini. Siku moja nikagundua kuwa maneno yale yale aliyokuwa akiniambia alikuwa akimwambia mtu mwingine.
Mapenzi โ๐ฝ.acha nirudi darasani nilisome hilo somo Tena ๐