Mtu yeyote anayetamani kuwa tajiri leo, bila kujali kiwango chake cha elimu, lazima awe na mambo matatu haya:
- Uelewa wa kifedha (Financial Intelligence)
- Mpango wa kifedha (Financial Plan)
- Nidhamu ya kifedha (Financial Discipline)
Unapo kuwa una angalia movies usiishie tu ku enjoy lakini chukua ujumbe.
Mfano hii movie hapo chini wengi wetu tumeiona lakini hatujui kama ni stori ya kweli inayo ishi mpaka leo huko China.
China ni nchi inayo ongoza sana kwa uchawi, Zamani mazishi yaliongozwa na waganga ambao walipeleka maiti kaburini kwa mtindo wa kurusha kichawi.
Sasa kuna zile maiti ambazo ziligoma kuzikwa kwa sababu mbalimbali kama, Hasira kali, chuki, au kisasi, Mazishi mabaya au kaburi lisilo sahihi, Kutokupewa heshima ya maziko, Kulaaniwa au kupewa uchawi
Endelea Na Uzi ⤵️