HAWA WATU NI WENDAWAZIMU KABISA
Tumekuwa tunawaambia kwa byakati tofauti kuwa watu hawa wanaojiita wanaharakati ni wendawazimu na vichaa kabisa mmekuwa wagumu sana kuelewa na kukubali.
HAWA watu walianza kwa kusema Chiba hana kesi ya kujibu na anaachiwa lakibi wakaja na porojo za kuwa sijui mtoto wa Rais kawapigia majaji simu na kulazimisha Chiba awe na kesi ya kujibu.
HILO halijatosha wakaja na sarakasi zao za kuwa mashahidi lazima waende akiwemo Rais na wengine nalo likabuma baada ya DCI kusema hawezi kuwa sehemu ya upumbavu wa Chiba.
AKATUMIA siku zaidi ya tatu kufanya majumuisho ya kesi yake na akalewa muda alioutaka kufanya hivyo na wenzake upande wa mashtaka nao wakatumia muda mchache sana kubomoa porojo zake alizoita majumuisho ya mwisho kwenye kesi ile.
MAJAJI wakatangaza kufika mwisho kwa majumuisho na kuwaambia hukumu itakuwa 6 November 2026..
LEO mnaona maji yako shingoni mnaanza kuleta porojo za kuwa Kabudi anaandika hukumu! Kwani Kabudi ni jaji? Au toka lini majaji wanaandikiwa hukumu kwenye kesi zao?
HII ni aina ya juu kabisa ya upumbavu unaofanywa na wanaojiita wanaharakati. Ni ujinga wa kiwango cha juu sana yaani kusemwa.
HAWA sasa ndiyo aina ya watu mnaosema ni wanaharakati? Yaani hawa sasa wanafanya harakati gani? Hizi ndiyo harakati su ni upuuzi mtupu.
HII kesi tuliwaonya toka mwanzo kuwa mnaleta mchezo nayo itakuja kuwatokea puani hamkuwa wasikivu kabisa. Mkawa mnalishana mpaka ubwabwa pale Kisutu na kupayukapayuka sijui mabalozi wa nchi za ulaya wmejaa kusikiliza haya sasa kiko wapi?
MMESHAONA maji yako shingoni mmeanza kuingiza watu kwenye ujinga wenu.
Endeleeni sasa kusema Chiba anatoa shule ya sheria. Endeleeni kusema sasa kuwa mawakili wa serikali hawajui kitu. Au mmechoka mara hii?
KESI siyo porojo na propaganda. Matokeo ya porojo zenu ndiyo yamemfikisha Chiba hapa.
VIPI zile blah blah zako za kuwa Chiba wanataka kumuuwa kule gerezani ziliishia wapi? Maana ulisema sijui Sumayi katumwa yuko Ukonga anataka kumpa sumu afe. Vipi ilifikia wapi hii porojo?
HUNAGA AKILI KABISA PANYA BUKU
#KigogoMediaUpdates
Wakati idara ya uenezi ya CCM ikikumbwa na kila aina ya kashfa za kufeli kufanya majukumu yake na mgogoro usioisha kati ya mwenezi na katibu wake mkuu Chongolo kuna shutuma zimeibuka kumhusu katibu mwenezi Sophia Mjema kuwa kageuza ofisi ya chama kuwa suala la kifamilia.
Imefika mahali mume wa katibu mwenezi bwana Shaaban Mwanga anajitambulisha kama Mr Mwenezi kwa wadau wa siasa na biashara anapokuwa anatumwa na mkewe kwenye majukumu yake ya kupokea na kukushanya rushwa. Tunajiuliza je? Nafasi hii inatambulika ndani ya katiba ya CCM? Mume wa mwenezi ni sehemu ya uongozi wa CCM?
Kilichopo sasa CCM ni viongozi wa juu akiwemo makamu , katibu mkuu na mwenezi ni kujitafutia utajiri binafsi kupitia mwamvuli wa CCM ndiyo maana chama kinakwenda tu kwa nguvu za upepo na viongozi wanapishindana kupokea rushwa na kukamua wafanyabiashara.
Katibu Mkuu Chongolo yeye kazi yake ni kukusanya hela kwa wadau na wafanyabiashara kwa kigezo cha kusaidia chama lakini kinachofanyika ni kwa kusimamisha maghorofa kila kona na kununua magari ya kifahali.
Chongolo anawezaje kuwa na majumba zaidi ya 40 Dar Es Salaam? Anapata wapi huo uwezo? Haya mambo aliyaanza kuyafanya toka akiwa Kinondoni na hajawahi kuacha ufisadi anaoufanya na sasa anatumia kiti cha ukatibu mkuu kujilimbikizia mali kwa kiwango cha kifisadi sana.
Chanzo chetu kimetuambia kuwa anapoambiwa na watu wake wa karibu juu ya mwenendo wake na kumtaka kuchukua tahadhari kwa kuwa mambo haya hayatamfurahisha mwenyekiti wa chama akajibu kuwa "mwenyekiti ana madaraka lakini hana watu , sisi tuna watu" kauli hii ni ya kifedhuli na dharau sana kwa mwenyekiti wake na kwa kweli kama hatachukuliwa hatua huyu ana hatari sana ya kuja kukiletea chama hiki majeraha makubwa sana mnele ya safari. Huyu atakuwa katibu mkuu wa hovyo sana aliungana na Mukama na Makamba ambaye mpaka sasa ndiye mwenye rekodi ya kuwa katibu nkuu wa hivyo kukiko wote.
Mr Mwenezi (Shabani Mwanga) kupitia mkewe wanajipatia mamilioni ya fedha kutoka kwa wadau wa siasa na wafanyabiashara na tunaambiwa zinapitishwa kwenye akaunti za vyuo vyao vya City Colleges kama njia ya kujificha na ufisadi huo.
Hata matukio ya Mr Mwenezi kufadhili mashindano mbalimbali na shughuli za kijamii ni utapeli tu wa kufunika uozo na ufisadi wao.
Inakuwaje majukumu na kazi zinazofanywa na mwenezi zinalipwa na City Colleges kupitia mumewe? Au City Colleges ni vyuo vya CCM? Au City Colleges imekuwa ni idara ya fedha ya CCM pale Lumumba? Kama siyo inakuwaje mume wa mwenezi analipia shughuli anazofanya mkewe kama mwenezi wa chama?
CCM inapoteza hadhi yake kwa kuwa na viongozi wa aina ya Chongolo na Mjema na haya mambo ndiyo yakiyofanya bwana yule kutaka ku reform CCM kwa kuwa imeshikwa na majizi.
Endeleeni kumkumbatia Mjema na Chongolo lakini matokeo yake mtayaona hivi karibuni. Watanzania siyo wajinga kama mnavyodhania.
#KigogoMediaUpdates
@maureen_mollel@nikkwapili Nilicho kulazimisha uwe kama mm ni nn mm nimekubali. Uendelee kama ulivyo mwenye akili nyingi tu bila nidhamu. Ww si ndo unapenda watu wawe ivo??