@MaureenNgasala Mpe namba yangu huyo Dada maana Mimi ndio huyo anaesemwa atakae kuoa atafaidi Mimi ndio ntakae muoa Sasa asipoteze Tena muda muoaji nimefikaaa☺️
@Kimbesa11@EduTalkTz@Mwabuk2Boniface Hasira na jazba Zina sababu,hajaamka nyumbani kwake akaanza kuwa na jazba tu,jazba inaletwa na uelewa wake juu ya Jambo la Muungano na hiyo bandari laiti Kama wa TZ wote wangekua na uelewa huo wa huyo wakili Unafikirii nchi itatawalika?Wenye uelewa mdogo ndo mnakejeli
@Kimbesa11@EduTalkTz@Mwabuk2Boniface Nafikiri hakuna haja ya kuingiza mambo ya sijui ya saikoselapy Ninyi ndio maana mkiitwa Wapumbavu mnakasirika Sasa hapo wakili anakosa gani,Swala la Muungano ni kweli Lina utata lilleta mzozo hata kipindi Cha Rasimu ya jaji warioba,watu wakieleza ukweli mnasema hawanasaikoselapy
We exchange numbers two weeks ago,but we never talk or chat,today she calls me,saying that she was thinking about me the whole time,she has been wait for my first call,she was feared to call me maybe I could think different on her, she wanna see me soon, she's in LOVE🌹🙆🏾♂️
Bishop Tudor Bismark, ni nondo zake za mwaka 2018 (kama sijasahau) lakini ukimsikiliza ni kama anatuhubiria sisi watanzania 2023 kuhusu bandari zetu kuuzwa kwa DP WORLD mali ya mtawala wa Dubai bila kikomo. Hapa anaongelea jinsi Zambia walivyouza migodi ya shaba (copper mines)