Hello pple....kwa mara nyingine Tanzania tunapata ufahari kwasababu ya kijana mdogo kuingia kwenye mashindano ya poet..Afrika nzimaa na yeye ni mshiriki kutoka Tanzania....tumsapoti..together we can make it..#OmaryzBaajun...
Hellos..Tanzania hii ni yetu sote...a young lady kuingia kwenye mashindano makubwa kama hayaa ni faharii soo ningependa watanzania woote tuunge mkono kumpigia kura achukue hii award...#FOYA2021AFRICA #foyaawards#uwezoapp....#GreatHopefoundation.....together we can make it...๐
Uwezo award...inakaribia na ili wewe mwanafunz unaetamani kushinda mwaka huu unabud kucheki hii app kwenye playstore yako kwa ushindi mzuuri..#uwezoapp#greathopefoundation...#jokatemwegelo.....
Jinsi,mama anavyopambana kuifanya Tanzania iwe na ubora...ndivyo #greathopefoundation.inavyo shiriki vyema katika kukomboa fikra za wanafunzii na kuinua vipaji na uwezo wao kwa kujionea ni namna ganii kazi ya greathopef inajitahiidi pakua app ya #uwezoapp kwa kujionea zaidi...
Mawazo ni muhimu kufikia malengo..elimu ni ufunguo wa maisha katika kila nyenzo...kujua kivip wanafunz wanatoka kwenye giza kuelekea kwenye mwanga kupitia #greathopefoundation https://t.co/NmHqNImZCW