๐จ Manchester United are reaching out to defensive midfieldersโ agents ahead of next signing, a DM after Santos and Tielemans.
Manu Kone among players being mentioned in internal talks and with initial approach on player side; not the only one.
๐ฅ https://t.co/KbpN6SxXNE
@chapo255 Penye upendo kila kitu kinajipa kaka vyote hivyo vipo ndani ya Upendo Heshima,Malengo ya pamoja, Ku deal na Migogoro ni vitu vinavyotegemea zaidi upendo kama hampendani hakuna mwanamke atavumilia kuishi na wewe kaka lazima aende kwa anayempenda
Sasa Hika huyo wa nje kama angependwa si angeoa/angeolewa?
Kuna mapenzi, mazoea, illusion na kaumalaya tunachanganya sana hapo, uwezi kulala na kuamka na mtu usiempenda for the rest of your life.
Ndoa ni zaidi ya kupendana.
Unafika Sinza unamsibiri mwenyeji wako sehemu akufate, mchana unaona bar pembeni kuna pisi wakali kama wanakuzingatia hivi,unaona umeokota dodo
Ghafla mwenyeji wako anakupigia simu anakuuliza umefika hadi wapi, unamwambia karibu na baa flani, anakwambia hapo wanapojiuza?๐
Umuhimu wa kumshukuru Mungu tuu na sio kumuomba ni busara ya kuelewa kuwa kuna mengi amekufanyia unayajua ila kuna mengi zaidi huyajui. Mshukuru zaidi ya kumuomba.