Reposted from Yosiah Nehemia - Wa NURU.
Keep populating the world with Gods image.
#Gospelhiphoplifestyle - #regrann @ Dar es Salaam, Tanzania — in Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/DPH8J7iElu
Zawadi pekee mwanadamu(mimi) naweza kupewa ni UZIMA WA MILELE, na NINAO tayari pale tu nilipompokea na ninapoishi Naye KRISTO.
Nauita uzima huu zawadi, kwani SIKUKIDHI kuupokea. SIKIDHI… https://t.co/i0Hie8E31v
Nawashukuru sana #TaaSisi hiphopinjili kwa kunitakia heri ya siku yangu ya kuzaliwa. Mwaka #2KXIX ni kwa ajili ya Bwana, kazi na watu wake. Let's work
#HipHopInjili#Tanzania🇹🇿 #255CHH… https://t.co/pgcJafU8oj
#ARap ni collabo iliyo katika muendelezo wa #WaNURUbarz🔥 Series yangu ya kuachia #16bars kali nilizokuwa nikiziachia kila week mapema mwanzoni mwa mwaka 2018. Hapa hapa katika Instagram… https://t.co/AhBBnS1k63