VIDEO:
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema ni vyema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuisimamia kauimbiu yake ya 'kazi na utu tunasonga mbele' huku utu ukizingatiwa zaidi kila mahali kwani isipokuwa hivyo chama hicho kitang'olewa madarakani.
Ameyasema hayo leo Februari 05, 2026 bungeni na kueleza kuwa utu huo unapaswa kuoneakana kwenye maeneo ikiwemo kwenye vyombo vya dola.
"Tunapoanza mipango ya utekelezaji wa dira hili suala la utu liwe wazi tulione moja kwa moja kwenye mipango ya serikali...tukienda kwenye machinga tuone utu, tukienda kwa wakulima tuone utu, tukienda kwenye matendo ya vyombo vya dola tuone utu" amesema Nape.
Mgombea Uraisi wa Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA Mh.Salum Mwalim Ameendelea na Kampeni ya kuomba ridhaa kwa Wananchi Leo September 28,2025 katika Viwanja vya Stand ya Zamani Njombe Mjini.
Mwalimu, amesema suala la kilimo nikitu muhimu kwani Ndio njia pekee ya Kutatua matatizo ya ajira kwa vijana pia suala la kodi zilizokithiri Mkoani Njombe endapo atapewa ridhaa atahakikisha kuweka mazingira bora kwenye utendaji.
#UwakilishiMakini
#Chaumma2025
Mzee Lema amejipa jukumu la kubariki na kulaani!.
Mchungaji kakosea nini kuweka utaratibu wa Ibada yake,Viongozi kadhaa wa CDM mnajipa utakatifu na Umalaika usiokuwa na umhimu.
Mnajihesabia HAKI sana kwenye kila kitu
Godiii, acha UPUMBAVU, wewe mbona ulikuwepo Mwanza siku ya Uhuru wa Tanganyika 2019 na wakati huo tulikuwa tumetoka kuporwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019?
Kama FAM kamakaa Neema usiwe na kinyongo cha kijinga ambacho ni UONGO broh!
Talk about tone-tone-
, muache FAM na mitkasi yake!
Sisi sio wasahaulifu sana kama nyie wanaharakati uchwara wenye akili za kuku! Tulichosema ndicho tunachokisimamia! Chama chetu kiko imara sana hakimuhitaji Mbowe kwa lolote lile, tulishakubaliana tangu january 21 2025 kwa matusi mazito sana kwa Mbowe kama hivi na kwamba Mbowe kachoka, kazeeka, hana maarifa, kalamba asali nk tukasema akapumzike! Naaam amepumzika asisumbuliwe!
Viongozi wetu wapya hawajashindwa hadi tuanze kuhitaji msaada wa Mbowe kwamba aseme neno ili tupumue, Tumwache Mstaafu apumzike alee wajukuu zake!
Hongera sana Mh Mbowe kwa ukomavu wako kisiasa na umahiri wako wa Diplomasia ya Kisiasa duniani! Unaendelea kutufundisha tofauti ya Siasa na Harakati nchini.
Sisi wanasiasa tutasimama na wewe hadi mwisho!
We Shall Win!
Ok, OFA YA SABASABA
Pata ZAWADI ya kitabu cha UJASUSI kwa HARD-COPY kwa 30,000 tu badala ya bei halisi ya 80,000/=.
Kwa Dar free Delivery. Nje ya Dar nauli 8,000/=.
Wahi Lipia kwa
LIPA NAMBA TIGO 7489022
LIPA NAMBA VODA 5352627
(YERICKO NYERERE)
CRDB BANK AC No 0152241955000 (YERICKO YOHANESY NYERERE)
(Dar ni free delivery)
Nje ya Dar nauli 8,000/=
Contact 0755865544
Nimesoma hoja zote za Mhe. Lema lakini haja-make sense kwa mtazamo wangu Mbowe hajakosea kujumuika na waliomualika. Mbowe ana uhuru wa kuamua aishije; Aseme au asiseme aende wapi na wapi asiende.
Wakati Mbowe yupo Gerezani unajua yaliyokuwa yanaendelea nje hususani ndani ya Chama? Nina hakika haujui kwahiyo usiseme sana kaka.
Pia kwa utamaduni wa CHADEMA ukistaafu unatulia unawaacha wenzako wafanye kazi. Mbowe hakuwahi kuwa interfered na Mzee Mtei wala Mzee Bob Makani at any point na misukosuko kwa CHADEMA haijaanza leo kaka.
Hivi Unajua nyie mnaomtaka Mbowe aje front mie nawaona mnawadharau Viongozi wa sasa wa Chama kwamba hawawezi bila Mbowe. Mie naamini Uongozi mpya unaweza bila Mbowe. Wewe huamini hilo?
@Lumola_Steven Kamanda umeandika ukweli kwa ustadi mkubwa
FAM sio mtumwa apangiwe cha kufanya
Uongozi upo ufanye majukumu yao inavyostahili
Kama wameshindwa wajiuzulu ili tuchague viongozi wenye uwezo
@NotoriousJayZ1@Eliudiwekesa @fuma1885 @KelvinShukia @Dalawida_champ @AdamEzekiel12
FAM daima amekuwa mpatanishi, ndani ya Chama na hata katika masuala ya Taifa.
Huo ndio wito wake – ndiyo hulka yake. Lakini cha kusikitisha, wale waliopaswa kusikia na kuelewa wamejifunga kifikra. Wamejizima data. Wanakataa uhalisia, kana kwamba hawamfahamu FAM!
Swali; wangelikuwa hawa Nyumbu wameshindwa—kwenye huu Uchaguzi wangelitoa ujumbe kama huu? This is FAM!✊🏾
"Raila huyu hajawahi kususia uchaguzi na nguvu yake yote na ukubwa wake wote, tulimfuata tukiwa chama kile, mzee unatushauri nini? Akatuambie msifanye kosa la kususia uchaguzi, hamuwezi kuuzuia uchaguzi pambaneni na CCM wawauwe, wawapige, wawajeruhi- ongezeni growth ya mabaya ya CCM na ipo siku dunia itaamka itasema hapana This is too much. Raila anatuambia nendeni kwenye uchaguzi, Raila mwanaume ambaye tunamjua, uwezo wake tunaujua, wafuasi wake tunawajua- Hawajawahi kususia uchaguzi.
Achana na Raila, nenda Zimbabwe kuna Zanu PF inafanana na CCM hii, vinavyojiita vyama vya ukombozi hivi kina Robart Mugabe. Alitokea mtu anaitwa Morgan Tsvangirai akawa na nguvu, wazimbabwe wakamuamini, wakampenda, akamkaba koo Mugabe, akaingia kwenye mtego uleule watu wakamuambia kwa ukubwa wako ukisusia uchaguzi, uchaguzi haufanyike, dunia itakuja. Mtafuteni Morgan alienda wapi. Alipotea mpaka mauti ikamkuta na mwanzo wake ulikuwa ni kususia uchaguzi."- Salum Mwalimu, Katibu Mkuu wa CHAUMM akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Iringa Mjini
@ChangeTanzania Lissu alimpigania vipi Mbowe wakati mnasema alikula Deal kutoka gerezani? Hakuwahi kuja mahakamani wala jela kumuona FAM hata siku moja kwa miezi yote 9.
Kama aliweza kumpigania ajipiganie na yeye sasa.Mahusiano ya FAM na Lissu yalimalizwa na Lissu kwa tuhuma za uongo kwa FAM
Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) Taifa, Bi. Sigrada Mligo, amehutubia kwenye mkutano wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), uliofanyika Makambako mkoani Njombe leo Julai 17, 2025.
Mligo katika hotuba yake amesema wananchi wanahitaji Wawakilishi bungeni pamoja na kwenye Halmashauri kupitia Mabaraza ya Madiwani hivyo ni muhimu wananchi wakajitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye uchaguzi Mkuu ujao kama sehemu ya kupata wawakilishi kwenye vyombo vya maamuzi na kuwa na uhakika wa maendeleo.
Amesema wananchi wa Makambako hawapaswi kuchoka kimaisha na hali waliyonayo inatokana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi.
"Mnalipa kodi mnaponunua bidhaa, kimsingi kodi zinapaswa kupunguzwa kwenye bidhaa za kilimo ikiwemo mbolea ili mfanye kilimo watu wajenge, wafuge wajenge," amesema.
Katika mkutano wa leo, viongozi mbalimbali akiwemo, Katibu wa Mkoa wa Njombe, George Sanga amesema CHAUMMA hakina ugomvi na mtu bali kina dhumuni la kuiondoa CCM madarakani.
Nilipaswa kukuambia Bro @godbless_lema ya kwamba mahubiri haya kamuambie Mkeo Neema, Ila namuheshimu sana Neema amekuwa sana mwema wakati wote na hana wenge, Kitu pekee ninachotaka kukuambia Bro punguza undezi,punguza ujinga,punguza umuhimu ambao hauna,punguza ujuajia ambao ni ushamba uliokuzunguka huku ukidhani unajua kumbe hujui. Awamu hii hatutakuacha umshambulie @freemanmbowetz tena mshamba kama wewe...Tupo tayari kwa BATTLE
VIDEO:
Mali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTZ2 Jimbo la Same Magharibi zimetolewa nje katika iliyokuwa ofisi ya chama ya jimbo hilo kwa kile kilichoelezwa ni kutokulipwa kwa kodi kwa miezi sita.
Leo Julai 17, 2025 wameonekana mafundi wakipaka rangi na kufuta majina pamoja na rangi za CHADEMA ili ibadilishwe kuwa ya Chama cha Ukombozi wa Umma @ChaummaT
Jambo TV imemtafuta Katibu wa CHADEMA Jimbo la Same Magharibi, Mohamedi Mnandi akatueleza kuwa wamekuwa na mazungumzo na CHAUMMA na wakaamua kuwaachia ofisi hizo.
Hata hivyo amesema mwanzo miongoni mwa waliokuwa wanachama wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA alitaka kubadilisha jina la ofisi hiyo kuwa ofisi ya CHAUMMA kwa siri jambo ambalo lilileta mgogoro mkubwa baina yao.
“ofisi tumeamua kuwasamehe tumetafuta sehemu nyingine sisi watu wa CHADEMA jana tulikuwa Polisi tumeandikishana polisi kwamba huyu katibu wa zamani tumuachie tunawadai viti 20 watupe viti vyetu tuwaachie” amesema Mnandi
Aidha Jambo TV imemtafuta Mwenyekiti wa CHAUMMA Mkoa wa Kilimanjaro ambaye ni mtia nia wa Ubunge kwa jimbo la Same Magharibi bwana Gervas Mgonja akatueleza kuwa ofisi hiyo alikuwa akiilipia kodi kwa miaka 12 na mwaka huu alipoamua kuhama kutoka CHADEMA aliacha kulipa kodi hiyo.
“mwenye nyumba alisema anataka alipwe kodi nikamwambia Katibu wangu wa jimbo wa CHAUMMA kama ni kulipa nilipe kama ofisi ya CHAUMMA na asaini mkataba wa CHAUMMA”
Mgonja amesema mmiliki wa nyumba ambayo wamepanga ofisi alimfuata akimuuliza kuhusu deni la miezi sita ambalo anadaiwa (kuanzia novemba 2024 mpaka April 2025) huku akimuuliza kama ana mpango wa kuongeza mkataba akakubali mkataba ukaandikwa lakini ofisi ikipangwa kwa matumizi ya CHAUMMA.
“Leo amekuja na mkataba wa CHAUMMA tukawaita vijana wa CHADEMA kuchukua vitu vyao ambavyo ni makaratasi kwa sababu furniture(samani) zote ni mimi niliweka” ameongeza Mgonja
Hata hivyo amesema mwanzo waliwatafuta viongozi wa CHADEMA kwa jimbo hilo ili kufanya mazungumzo ya makabidhiano lakini upande wa pili ulikuwa na ugumu mpaka wakapelekana polisi. Hata hivyo baadae walipata nafasi ya kuzungumza na kufikia muafaka wa makabidhiano ya nyaraka(mali za CHADEMA).
@Jambotv_@ChademaTZ2 Piga hao Matapeli kina Lema na Genge lao😄
Si wanasema chama kipo moyoni, haya fanyeni shughuli zenu za chama mioyoni humo😄
Hiki chama mwakani majira kama haya hakitakuwepo,Wamebakisha matusi na kelele za mitandaoni
His name FREEMAN AIKAELI MBOWE (mwanachama halali wa CHADEMA)
Great of all time
FAM ni mmoja tu.
Hatutaki kutia huruma, kila mtu ashinde mechi zake.
Team FIX Endeleeni kufix,
muacheni Mzee wa watu apumzike kama mlivyotaka kumpumzisha, msitoe milio, pambaneni