Sycophancy of the highest order😱!
Kwani akiblock wewe automatically Mpango nae anakuwa blocked au wewe ni Mpango uliekufa na kuchat hapo hapo..🤔
Tech giant analalamikia kuwa blocked wakati kuna maelfu ya njia ya kuingilia mawasiliano🤓?
Attention seeker 'ajibiwe'..?🏃 Fool
👉Ni kweli @hildaNewton21 amekosa ubunge wa viti Maalum, lakin haihalalishi kumfanya akose utu kwa kuombea Watanzania wapatwe na Magonjwa.
👉Siasa za upinzani Tz ni za Mihemko sana, hazina hoja za kujenga Taifa Madhubuti zaidi ya kuhujumu Serikali zilizopo Madarakani
Didier Mlawa @kigogo2014 hana jipya tena anadanganya wajinga kila siku na NYUMBU wanashangilia tu, haya mke wa Marehemu nae kaamshwa Moi au??? Mana jana Bilal aliuumbua na leo tena🤣🤣🤣
The Second Extra-Ordinary Meeting of the Tripartite (COMESA-EAC-SADC) Council of Ministers is underway
Mkutano wa Pili wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Utatu wa COMESA-EAC-SADC, ambao unafanyika kwa njia ya video unaendelea muda huu.
Mganga mkuu wa Serikali Profesa Abel Makubi amewataka wananchi kujenga tabia ya kufanya mazoezi mara kwa mara ili kuimarisha kinga dhidi ya magonjwa ya kuambukiza pamoja na yale yasiyo ya kuambukizwa.
'' Mimi Sina Mpango Wa Kuharibu Katiba Ya Nchi Hii, Kahakikishe Unawaelekeza Wanachama Wa CCM
Wa Concentrate Na Mambo Ambayo Tuliyanadi Kwenye Ilani Ya Uchaguzi Ambayo Ni Kujenga Uchumi, Ustawi Wa Watu, Amani'' - Maneno Kutoka Kwa Mh. Rais Wetu @MagufuliJP
Your level of understanding is equivalent to zero. Is abroad a vital thing for someone to survive?
You might be the loiterer in the world, now tell us what have you with your kidds added on earth by loaming?
Mkurugenzi Halmashauri ya Mbulu Manyara, Hudson Kamoga amemsimamisha kazi Ofisa Mtendaji wa kijiji cha Haydom, Adela Kente kwa kupigana hadharani kinyume na sheria "Nimemsimamisha kupisha uchunguzi, hakuna sababu yoyote ya kufanya alichofanya hata kama Mwananchi awe na kosa gani"
Mambo haya yakifanyika Afrika wanaharakati Uchwara hawatalala kupiga kelele. Lakini kabla ya siku ya kuapishwa BIDEN wanajeshi wenye silaha wamesambazwa na magari ya kivita. Yaani wamesambazwa mara 5 ya wanajeshi waliopelekwa Iraq!! @abduIazackabdul @ClubMagufuli@ChangeTanzania