Unaona venye hiyo lorry ya maziwa imeanguka wakenya wakakimbia kuiba . Hivo ndio lorry ya pesa huanguka bunge . We can't hate politicians when we are exactly like them.
First rule ya dating ni ,..dont take a lady to a date for her to like you. You take a lady who already likes you to a date. Hii usipofwata utakua unafanya kazi ya kufeed wamama wenye wanakufa njaa.