๐Huyu jamaa anaweza kuwa ndiye Katibu Mkuu wa kwanza Tanzania mwenye umri mdogo na ambaye hajawahi kuyumbishwa na sarakasi za ndani ya Chama chake. Anaamini katika chama na si katika mtu.
๐Aliondoka slaa, Mashinji yeye yupo tu, wameondoka G55 yeye yupo tu, apewe maua yake
@Eng_Matarra@CatherineRuge Piga tu master jinga hili, alikuwa wanasema haukuna kuhama Chama lakini hao hao ndiyo wanayumba hizi zilikuwa toilet paper hizi chamani kabisaaa
Na katika kosa lilifanyika ni kumuweka Lissu ndani, kumemuongezea ushawishi wa kisiasa akitoka hilo nyomi atakalokula mkoani uko mtampiga makwenzi aliyewashauri huo upuuzi.
@JoelyMsuya Msuya hawa jamaa bila madaraka hawezi kuishi yaani kwenye VAR ya E Odemba nikucheka mno Kingaila aisee mtu ukiasi kisa tu vinafasi watu wanapush haki ktk hii bila kutaka nafasi yeyote ile bali Katiba bora ili Nchi iongozwe kwa misingi ya haki bila kujali chama gani au mtu gani
Grace Rweyemamu, karibu sana CHADEMA ya asali na maziwa. Ukiijua haki huwezi kuwa sehemu ya mbogamboga. Ukiona mwanachama wa MaCCM anahamia CHADEMA wakati wa #noreformsnoelection fahamu kwamba, hiyo ni mali safi. Hata hivyo, ukiondoa njaa na tamaa, Watanzania wote ni CHADEMA.
Fellow Ugandans, CHADEMA is on๐ฅ๐ฅ๐ฅ "One Love"
Mwanza people have decided to support the Movement Financially. The message is very clear; No Reforms, No Elections
NOTE: Chadema is the main opposition party in Tanzania.
#NoReformsNoElections@ShijaShibeshi@ChademaTz
@ExMayorUbungo Kabla ya kristo mandiko ya lisema hiv usimuacha mwanamke mchawi akaishi... Mwisho wa kunukuu...
Safari hii matumaini ya kumuona Mdude ni madogo sana..
@VitusNkuna@CHILUMBA_96 CDM kwa sasa inasimamia malengo yake kama chama tofauti na kipindi cha mipango ya CDM malengo ya upande wa pili elewa hii mkuu hii kwa sasa ndiyo Chama sasa cha Upinzani
Kuna watu kweli tulisapotiana kwenye Uchaguzi wa ndani ya Chama , kitu ambacho ni kawaida ktk chaguzi zozote kwenye taasisi kubwa kama CHADEMA.
Lakini hatukukubaliana tukishindwa TUHAME CHAMA.
Tulikubaliana HAKUNA KUHAMA CHAMA kabla na baada ya Uchaguzi.