Dereva mtanzania ametekwa amefungwa mikono na usoni watu wameondoka na kopa na hapo alipo hajuwi ni wapi kaja kuwekwa tu barabarani haijulikani gari iko wapi Congo huko ππ
Mungu alibariki neno lake. Ubarikiwe sana sana MCHUNGAJI @ElionaKimaro ni mtu mjinga pekee ambaye hataelewa ulichozungumza. Falsafa iliyotumika hapo ni ya Roho mtakatifu mwenyewe.
Kama mtu hajawahi kujitolea miaka 2 akipokea 50% ya mshahara, hajasota mtaani miaka 5 akijishikiza tu; ni ngumu kukubebea hoja zako maana viatu vyako HAJUI VINABANA VIPI.
July 29-31 kutakuwa na mkutano mahsusi wa rasilimali watu ktk sekta ya afya: NENDA KAJISEMEE. #DiraAfya2050
Tangazo la Ajira Kada za Afya, nafasi 9,483 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Bofya kiunganishi hiki kupakua tangazo hilo https://t.co/hnsNPcduIX #MtuniAfya#TunaboreshaAfya
Unataka KUWEKEZA? na hujui uwekeze wapi? Uwekeze kwenye nini?
FURSA za UWEKEZAJI ziko katika kila Mkoa hapa nchini!
Leo tunawaletea maeneo na aina ya uwekezaji kulingana na maeneo yaliyotengwa MKOA WA SINGIDA
WEWE ni Mwekezaji nchini kwakoβ¦.
"Mchakato wa kuandika dira usihamasishwe katika namna ya kwamba tupo kwenye mchakato wa kuunda mpango wa maendeleo. Tunahitaji kuwa na dira, au falasafa ya maendeleo kwanza ndiyo tupate mipango ya maendeleo ya muda mrefu na mifupi itakayoakisi dira hiyo"
https://t.co/yvXrFW8oBJ