Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa hii leo Julai 25, 2026 amemtembelea na kumjulia hali mdau wa muziki na mlezi wa vipaji nchini, Mkubwa Fella, nyumbani kwake kwa lengo la kumjulia hali, ambapo pia amemkabidhi msaada wa shilingi milioni 20.
Katika ziara hiyo, Majaliwa alipata nafasi ya kufanya mazoezi mepesi ya viungo pamoja na Mkubwa Fella, ikiwa ni sehemu ya kumpa moyo katika kipindi hiki cha kuendelea kuimarisha afya yake.
Aidha, wawili hao walifanya mazungumzo kuhusu mchango wa Mkubwa Fella katika kukuza na kuendeleza muziki wa Tanzania, hususan katika kulea na kuinua vipaji vya Wasanii mbalimbali, pamoja na masuala mengine yanayohusu maendeleo ya tasnia ya sanaa Nchini.
#MillardAyoUPDATES
Let's play a game Guys........
Send this to your bestie(opp Sex) nd add this caption "Me and You Soon" nd show us his/ her reply 😛😂😂
Please don't air me 🤦
Repost 🙏
Huko CCM moto unawaka Samia akatazwa kuongea wahifia atamjibu Nchimbi.
Katika hali ya kushangaza Samia ameonekana akiondoka kimyakimya Baada ya kuhitimishwa kwa sherehe za Mashujaa Dodoma.
VIDEO:
“Si walisema wanamweka Lissu ndani chama kitakufa, kimekufa? Ndiyo kinakuwa cha moto zaidi kabisa, wakimweka Heche…atakuja Chagulani, atakuja Obadi atakuja nani…yaani huu moto umeshawaka hakuna namna ya kuuzima, watamwachia kama walivyomkamata”, - Heche.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche ameeleza hayo Jumamosi, Julai 25, 2026, akizungumza na waandishi wa habari mkoani Mwanza kuhusu viongozi na wanachama kadhaa wa chama hicho wanaoshikiliwa maeneo mbalimbali nchini kwa tuhuma za ugaidi ambapo pia amedai kuwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Tundu Lissu ina msukumo wa kisiasa, akishangaa namna kesi hiyo inavyochukua muda mrefu kumalizika.
Mpaka sasa tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 223.5, hatua kubwa inayotupeleka karibu zaidi na lengo la TSh. Milioni 334.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
"Leo asubuhi tulienda Gereza la Butimba, tumemkuta Bwana mmoja mke wake amefariki Wiki moja iliyopita, amebaki na watoto wake wawili, amekamatwa hana ndugu, analia, tunamuuliza anasema hajui hata watoto wake wapo na nani, ikabidi tuwachukue wale watoto tuwaganye kwenye familia za watu wa Chadema, fikiria hayo maumivu yake”-; Mhe. @HecheJohn
Tupiganie Katiba Mpya kivipi Wakati Lissu alipigania Katiba Mpya mkamfungulia kesi ya Uhaini?
Tukomae na Katiba Mpya kivipi wakati Vijana walipokomaa na Katiba Mpya mwaka jana mliwapiga risasi za moto na kuwaua?
Tupiganie Katiba Mpya gani ambayo vijana wa CHASO Mbeya, Mwanza, Iringa na mikoa mingine wakifanya hivyo wanafunguliwa kesi za Ugaidi na Uhaini?
Tupiganiaje Katiba Mpya wakati Dr. Melkisedeki Kaijage wa UDOM amewaambia wanafunzi wake Darasani kuwa kuandamana ni Haki ya Kikatiba leo amefunguliwa kesi ya Ugaidi?
Unasemaje kama unataka Amani lazima Utende Haki na usione aibu kutamka haki katika mazingira ya nchi ambayo Vijana wanatekwa, wanapotezwa, wanafunguliwa kesi za uongo za ugaidi na uhaini ? Wanaoruhusu haya yafanyike ni akina nani Bwana Nchimbi atueleze tumuelewe.
BAVICHA tumesema huu ni wakati tunaohitaji VITENDO dhidi ya MANENO. Hatuhitaji kauli tamu za kutufurahisha.
Wanaokula kodi zetu watanzania tunahitaji watuambie:
Katiba Mpya itapatikanaje kabla ya 2029 na 2030 wakati hadi sasa hakuna Bajeti ya Mchakato huo?
Hakuna Calendar ya matukio ya namna mchakato huo utakavyofanyika na kukamilika. Tutaaminije?
Msimamo wa BAVICHA na Chama chetu ni No Reforms: No Election kwa Uchaguzi wa 2029 na ule wa 2030. Ni muhimu wanaotumia kodi za Watanzania wakawekeza kwenye kuhakikisha mazingira ya kupatikana Katiba Mpya ya Wananchi inapatikana kweli na sio mbwembwe na propaganda.
Deogratias Mahinyila @AdvMahinyila
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa.
24/07/2026.
Maneno uliyotueleza leo, ungezungunza na wenzako juzi. Jana ndugu zetu wasingesomewa mashtaka ya UGAIDI. Kama uliwahi kupita kwenye utume wa VIWAWA nikukumbushe wito wetu ni "Kuona, Kuamua na Kutenda". (μετάνοια)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema anatamani kuona Taifa ambalo Watu wenye mitazamo tofauti wanaweza kukaa pamoja na kujadiliana masuala ya Nchi kwa amani, bila uhasama wala uadui.
Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) uliofanyika Jijini Dar es salaam leo Julai 24, 2026, Dkt. Nchimbi amesema anatamani kuwatambua Wanaharakati kwa uwezo wao wa kufikiri, kujenga hoja na kushawishi kupitia mazungumzo.
Amesisitiza kuwa tofauti za mawazo hazipaswi kuwagawa Watanzania, bali zitumike kujenga taifa lenye kuheshimu haki, amani na demokrasia.
#MillardAyoUPDATES