Una impact yoyote kasifieni Kula miwa na kavuta bange nyie hamuwezi kufanya ukombozi wowote nyie wenyewe mnahitaji Masada wa kukombolewa kimaarifa lugombo ndiyo nani! Wewe na yeye wote wagonjwa mnahitaji msaada sisi fans tupo kwa ajili ya kuwasaidia fuck off
Nilifungwa kwenye chumba chenye giza chini nisihame
Nikachapwa mijeledi thelathini na minane
Nikapambana nikatoroka na mtumbwi kwenda kando
Usalama wangu ulianza hapo
Fid q anakwambia kati ya Pmawenge na Dizasta vina amchague mmoja kati yao yeye anakwambia Anamchangua Pmawenge anapenda deliver yake .
Kuhusu kuandika kila mtu anaweza kuandika apo akamzungumzia Dvina.
Kwa ambao mnaonaga mwana anaandika sana kumbe kila mtu anaweza kufanya ivyo.
Fid akaambiwa amchague One au Unju
Akamchagua One, akaambiwa tena Stereo au One akamchagua One kwa mara nyingine tena.
Sio kwamba hao wengine sio wakali ila segment inaitwa Mida ya lawama na kweli kwenye uchaguzi wako lawama lazima ziwepo.
Maoni ya mtu yaeshimiwe.
Unju akamaind
Mr Blue Byser alienda kwenye show mbeya miaka ya 2010 akiwa backstage Unju akasogea mbele ya Byser na Nyandu. Akamuambia โbro mimi nachanaโ biti zikawekwa Unju akapasuka mno, Byser akauliza kwa mshangao โWe unachana hivi na upo Mbeya?โ akamuambia brother mimi nipo chuo tu!