๐จ๐ต The agreement between Chelsea and Granit Xhaka on personal terms is guaranteed.
Xhaka is driving the move personally as he wants #CFC, wants to reunite with Xabi Alonso and wants to live in London.
Deal depends on the clubs.
๐ฅ https://t.co/i1adjykerw
๐จ Chelsea value Trevoh Chalobah at โฌ40m with fee to be negotiated as many clubs are keen.
Comoโs bid exclusively revealed as well as Inter interest are both 100% confirmed.
โฌ25m wonโt surely be enough.
Historical World Cup for African teams. ๐โ๐ฟ
โ ๐ฟ๐ฆ South Africa
โ ๐จ๐ป Cape Verde
โ ๐จ๐ฎ Ivory Coast
โ ๐ฒ๐ฆ Morocco
โ ๐ธ๐ณ Senegal
โ ๐ฌ๐ญ Ghana
โ ๐ช๐ฌ Egypt
โ ๐จ๐ฉ RD Congo
โ ๐ฉ๐ฟ Algeria
โ๐น๐ณ Tunisia
9๏ธโฃ/๐ teams have qualified to World Cup Round of 32 ๐๐พโจ
Whoโs gonna win the World Cup? ๐๐
๐ซ๐ท France vs. Sweden ๐ธ๐ช
๐บ๐ธ USA vs. Bosnia ๐ง๐ฆ
๐จ๐ญ Switzerland vs. Algeria ๐ฉ๐ฟ
๐ฟ๐ฆ South Africa vs. Canada ๐จ๐ฆ
๐ณ๐ฑ Netherlands vs. Morocco ๐ฒ๐ฆ
๐ต๐น Portugal vs. Croatia ๐ญ๐ท
๐ช๐ธ Spain vs. Austria ๐ฆ๐น
๐ง๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ Belgium vs. Senegal ๐ธ๐ณ
๐ง๐ท Brazil vs. Japan ๐ฏ๐ต
๐จ๐ฎ Ivory Coast vs. Norway ๐ณ๐ด
๐ฒ๐ฝ Mexico vs. Ecuador ๐ช๐จ
๐ฉ๐ช Germany vs. Paraguay ๐ต๐พ
๐ฆ๐ท Argentina vs. Cape Verde ๐จ๐ป
๐ฆ๐บ Australia vs. Egypt ๐ช๐ฌ
๐จ๐ด Colombia vs. Ghana ๐ฌ๐ญ
๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England vs. DR Congo ๐จ๐ฉ
๐จ๐ต Xabi Alonso made it clear internally from the start that he wanted to sign Granit Xhaka. 33 y/o captain is in full agreement with Chelsea as revealed. Salary and contract length have all been agreed. #CFC
The transfer fee is expected to be in a similar range to the one paid when Xhaka joined Sunderland. It is now up to the clubs to reach an agreement. Negotiations ongoing. Xhaka is waiting. @SkySportDE ๐จ๐ญ
Siku nzima ya leo magari mawili ya polisi na polisi wakiwa wameziba nyuso zao na silaha kubwa kubwa, wamenifuatilia tangu nikiwa Urambo kwa kupokezana mpaka nafika Kigoma.. njiani nimesimama mara mbili kuwauliza shida yao ni nini kwangu hawakuwa na majibu ya maana.
Nimefika hapa Kigoma kila ninakopita na hapa Hotelin kwangu wamejaa maafisa wakiwa na nguo za Kiraia..
Mimi ni Mwanasiasa wa upinzani ninaetimiza wajibu wangu wa kikatibaโฆ Chama chetu ni chama cha siasa ambacho kimesajiliwa na chenye haki zote katika Nchi hii.
Nimepokea taarifa nyingi kwa watu wema wakitaka niwe makini, wengine wanasema mimi na familia yangu tumetolewa maelekezo mabaya.
Nitatimiza wajibu wangu bila uoga wala hofu, hakuna mtu anaweza kuniondoa kwenye haki na wajibu wa kutetea Nchi yangu na watu wetu.
Ninawashauri watawala dhalimu kuacha kucheza na utulivu huu uliopo . Hofu haijawahi kuzaa amani, hofu huzaa hofu zaidi.
Hakuna siku nitakimbia Nchi yangu.
๐จ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Como official bid for Trevoh Chalobah was sent days ago, as revealed and Chelsea already indicated a higher price to sell the centre back.
โฌ25m wonโt be enough as #CFC are aware of more clubs keen, including Inter attentive and monitoring Chalobah.
๐จ๐ต BREAKING: Granit Xhaka can be Chelsea surprise signing in midfield. ๐จ๐ญ
The midfielder wants to re-join Xabi Alonso and has expressed desire to return to Londonโฆ
โฆaccepting any contract condition just to join #CFC, reunite with Xabi and go back to London. Deal on.
๐จ๐ฃ EXCLUSIVE DETAIL | Granit Xhaka and Chelsea have already reached a full verbal agreement over a transfer. Personal terms have been fully agreed. #CFC
Chelsea are already in contact with Sunderland.
Xabi Alonso is pushing hard to sign Xhaka post Blick and various English media outlets. @SkySportDE ๐จ๐ญ
THIS IS VERY STRANGE ๐ฑ๐๐ฅ
The last minute of this fight was INTENSE ๐ฌ
Ground and pound. Hammerfists. Elbows. Pure chaos.
One fighter survives, the other almost finishes it.
This is why we love MMA.
#UFC#IanGarry
Wananchi Walalama Uwanja wa Biafra Kuchukuliwa na โMwekezajiโ
Wananchi ambao wamekuwa wakiutumia uwanja wa Biafra uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, wameulaumu uongozi wa CCM-Dar es Salaam, kwa kutoa uwanja wa wazi wa Biafra kwa wanaodaiwa kuwa wawekezaji bila kushirikisha umma.
Watu hao wanaodaiwa kuwa wawekezaji wa kigeni wameendelea kumega uwanja huo vipande vipande kwa kuzungushia mabati, huku sehemu zingine zikiwa zimeshajengewa ofisi za kudumu.
Uwanja huo umekuwa ukitumiwa kwa shughuli za kijamii, michezo pamoja na shughuli za kiuchumi zisizo na ofisi za kudumu kama gulio, kupaki magari na matengenezo ya magari.
๐จ Chelsea have submitted an opening โฌ30M bid for Granit Xhaka as they step up their pursuit of the Sunderland midfielder. ๐จ๐ญ
New manager Xabi Alonso has personally requested the signing, with the Blues now making their first formal move.
The pair enjoyed a successful period together at Bayer Leverkusen.
(Source: @lucacerchione)
Mikutano ya hadhara ya vyama vya Siasa ni haki ya Msingi inayolindwa na katiba na sheria za nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani hana mamlaka yeyote ya kuvunja Katiba. Agizo lake ni HOTAIR na Bwana IGP akitii agizo hili atakuwa ni mtu wa hovyo.
Mamlaka ya kutoa ulinzi wa Mikutano ni ya OCD, IGP hatajwi popote kwenye sheria ya vyama na hata huyo OCD hana mamlaka ya kutoa au kutotoa kibali. Vyama haviombi vibali vya mikutano, vinatoa Taarifa.
Bwana Katambi sijui kitambi amejiongelesha tu na OCD yeyote atakayefuata maelekezo haramu na ya kisiasa ATASHTAKIWA KAMA MTU BINAFSI
CHADEMA, chama kilichozuiliwa kufanya siasa kwa siku 310 mfululizo, kimeanza mikutano ya hadhara kidogo, MaCCM wameingiwa na hofu na kuzuia mikutano. Hapo bado mashine Tundu A.M Lissu hajatoka gerezani. Tutawapiga spakoo za kutosha sana. Mbogamboga, mbinu hizi za kishamba na kitapeli za kuzuia shughuli halali za kisiasa, hazitawafanya mpendwe, zinazidi kuwajengea chuki kwa wananchi. Kama mlishinda kwa 97% na kupigiwa kura milioni 32, mnawezaje kuogopa chama cha siasa kisichokuwa na mbunge, diwani, mwenyekiti wa mtaa, kijiji au kitongoji? Endeleeni kuzuia, mnavyozidi kutuzuia ndivyo mnavyowatia wananchi hasira na kuwazindua usingizini. Panakaribia kukucha, mamiyakeee. MBORAAAKE. #KatibaMpya #FreeTunduLissu
NB; Kwa huu mtiti, msingejichoma vidole wenyewe, mnuse, halafu mpige chafya (kuzuia mikutano) tungewashangaa sana. Tunawafahamu.
Mahakama Kuu ya Tanzania ilishafanya uamuzi katika kesi ya Christopher Mtikila vs Mwanasheria Mkuu wa Serikali (1995). Mahakama ilitamka haki ya kukusanyika na kutoa maoni ni haki ya msingi.
Mahakama ilifuta vifungu vilivyokuwa vinalazimisha raia kuomba kibali kwa DCs au OCDs kufanya mikutano, ikisema kulazimisha raia kuomba kibali kutumia haki ya kikatiba ni kinyume cha Katiba.
Mahakama ilibainisha kuwa kuweka utaratibu unaofanya haki hii itegemee hisia au utashi wa kisiasa wa viongozi wa serikali au jeshi la polisi ni kinyume cha Katiba. Mahakama ikatoa amri.
Tangu wakati huo, utaratibu ukawa ni wa kutoa taarifa ili polisi waweze kutoa ulinzi, na sio kuomba idhini ya kisiasa. Haya ni mambo ambayo huyu KATAMBI anatakiwa kuyafahamu vizuri tu.
KATAMBI kasoma sheria, ni kweli kwamba haya mambo hajui? Anyways, tunaelewa kwamba ni hofu tu kutoka mbogamboga. Ametumwa tu kusema lakini hofu inatoka kwa wakubwa zake. HOFU. WOGA.
Waziri Wa Mambo ya ndani acha Kuvunja Katiba.
MLINZI WA KATIBA ? AU MVUNJA KATIBA?
Waziri wa Mambo ya Ndani hana Mamlaka yeyote ya Kuzuia au kutozuia Mikutano ikiyoruhusiwa Kisheria. Aidha siyo jukumu la IGP kutoa vibali vya mkutano au ruhisa ya mkutano.
Mukutano ya ndani ya vyama inaratibiwa na vyama vyenyewe na Jukumu la Polisi nikutoa Ulinzi tu.
TLS imepokea kwa mshtuko taarifa hizi na tutakaa na kuona namna ambayo tutachukua hatua za kisheria za ndani ya nchi na nje ya nchi dhidi ya yeyote atakaye jaribu kutekeleza agizo hili Haramu na Batili kwa kukiuka Katiba na sheria za nchi.
Tafsiri
โGuardian of the Constitutionโฆ or Its Chief Violator?โ
The Minister for Home Affairs has no legal authority whatsoever to prohibit or permit meetings that are lawfully allowed under the law. Equally, it is not the mandate of the Inspector General of Police (IGP) to issue permits or authorizations for meetings.
Internal meetings of political parties are regulated by the parties themselves, and the role of the Police is strictly limited to the provision of security and maintenance of public order nothing more.
The Tanganyika Law Society (TLS) has received these developments with profound shock and concern .
We shall convene urgently to determine appropriate legal measures, both domestically and internationally, against not only against this position but also against any individual or authority who will attempt to implement this unlawful and void directive, in blatant violation of the Constitution and the laws of the land.
BAK MWABUKUSI
PRESIDENT, TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS)