Ukiondoa kuwa uchi ni viungo ambavyo ni kwa ajiri ya kupatia watoto .
Ila wengine wanatumia kama starehe na wengine wakitumia kama chombo cha kutafutia ela au biashara ..
Ulimi na uchi ni vitu viwili ambavyo vitawapeleka watu wengi motoni
1.ULIMI ni kiungo ambacho kitawaponza wengi asa kwa kuongea mambo ambayo ni sahihi na sio sahihi na mengine watu wakitia chumvi au uongo ukiondoa hicho kusengenyana .
2.UCHI sasa hapa ndio paliposhindikana
@INFLUENCERjr Wewe sheria sometimes miyeyusho niliwai date na mtoto 1 wakishua mzee alipa sheria 17 aaf mbaya zaidi hakuwa na simu ilifika time nikaona ujinga tyuu nikawaza utakutana nae vipi kama sio kurusha mawe juu ya bati lao mwishowe atoke mzee wake๐๐
Dini moja kitabu ni kimoja kwanini mnaigawa kama bigijiii kmmk daah nashindwa kuelewaa hafi tunaisi sasa ni maigizo haya aseeee japo kila mtu ana imani yake ila mnazingua mnayoyafanya ๐๐