@privaldinho Nilichokiona hapa kuna watu masuala ya mpira hawayajui kabisa ww unauliza fair comptation iko wap kwani umesikia wap kuwa vunja bei anawalipa wachezaj gan posho au mishahara au kudhamin timu yyte hapa bongo au ni kukosa cha kuandika tu huyu anadili na vifaa vya timu tu
@Lukala_Ngesse Pigeni kazi vijana wetu hizo zote ni kelele za chura Mwenyezi Mungu atawasimamia dhidi ya mahibirisi ya mitandaoni mpaka sasa biashara zetu amani yetu pamoja mali zetu viko salama kwa uwepo wenu : God bless our TZ Police