#TajiriLaKihaya
KUNA MASWALI MAKUBWA YANAYOPASWA KUJIBIWA MUHIMBILI NA JKCI.
Leo familia yetu imepoteza mdogo wetu. Moyo wangu umejaa huzuni, uchungu na maswali mengi ambayo hadi sasa hayajajibiwa.
Siku ya kwanza nilipofanikiwa kumpeleka mdogo wangu JKCI na kupata chumba cha VIP, nilifurahi sana. Niliona kama tumepata mwanga wa matumaini. Baada ya vipimo, tuliambiwa tatizo lake la moyo lilihitaji upasuaji mdogo tu na angeweza kuendelea na maisha yake kawaida.
Tukaahidiwa upasuaji ungefanyika ndani ya siku mbili au tatu.
Lakini siku zikageuka wiki.
Kabla hata ya kulazwa, tulikuwa tumepambana kwa zaidi ya mwezi mzima tukizungushwa kutoka leo hadi kesho. Mara daktari hayupo, mara jopo la wataalamu halijakaa, mara kipimo kirudiwe, mara tusubiri dawa zifanye kazi kwanza. Kila siku ilikuwa ni ahadi mpya na tarehe mpya.
Baada ya kulazwa tuliamini safari ngumu imekwisha. Lakini ndipo mateso makubwa zaidi yalipoanza.
Mdogo wangu aliingia hospitalini akiwa bado anaweza kutembea, kuongea, kula na kujitambua. Kila siku tulisubiri upasuaji ulioahidiwa, lakini haukufanyika. Badala yake hali yake ilianza kuzorota mbele ya macho yetu.
Wiki moja ikapita.
Wiki mbili zikapita hadi wiki tatu
Hakukuwa na upasuaji.
Kulikuwa na sababu mpya kila siku.
Kisha tukahamishwa kutoka chumba tulichokuwa tumepewa kwa madai kuwa kingefanyiwa fumigation. Lakini usiku huo huo mgonjwa mwingine akawekwa kwenye chumba hicho. Hadi leo hatujui ukweli ulikuwa nini- lazima UFISADI ULITUMIKA HAPA!
Tulihamishiwa chumba kingine JAPO kilikua VIP… ila hakikua kwenye standard sawa!
Hata nakumbuka kuna Daktari wa Kihindi alikuja kusoma vipimo akasema ile MONITOR haipo sawa! Mapigo ya moyo na oxygen haisomeki kwa usahihi…
Sasa kwa nn tulihamishwa chumba? Kutoka chumba kizuri kuja hiki?? Kwa nn kile tulichokuwepo alipewa mwingine usiku huo tumehamishwa? CORRUPTION!
Baada ya hapo hali ya mdogo wangu ilizidi kuwa mbaya zaidi. Akapoteza nguvu, akashindwa kuzungumza, akashindwa hata kuwatambua watu waliomzunguka.
Tulikuwa tunauliza maswali. Tulikuwa tunaomba msaada. Tulikuwa tunaomba hatua zichukuliwe haraka.
Lakini muda uliendelea kwenda.
Leo asubuhi mdogo wangu amefariki dunia.
Siandiki haya kwa hasira pekee. Naandika kwa maumivu ya familia iliyokuwa na matumaini makubwa ya kumuona mpendwa wao akirudi nyumbani akiwa mzima.
Kama kweli kulikuwa na uzembe, kucheleweshwa kwa huduma, ukosefu wa uwajibikaji au mifumo mibovu ya utoaji huduma, basi kuna haja ya uchunguzi wa kina na hatua kuchukuliwa. Maisha ya Watanzania yana thamani. Wagonjwa hawapaswi kupoteza maisha wakisubiri tarehe nyingine, kikao kingine au ahadi nyingine.
Tunataka majibu.
Tunataka uwajibikaji.
Na zaidi ya yote, tunataka familia nyingine isipitie maumivu tuliyoyapitia sisi.
Kama hapa ni VIP… je wagonjwa wa kawaida wanapata huduma gani???
Pumzika kwa amani mdogo wangu. Tulipambana kwa kila tulichoweza. Mungu akupokee katika makao ya milele. 💔🕊️
Bora uwe na wezi na matapeli kila kona kuliko kuna na watu kama kina anko t na mashoga wengine kwenye jamii, wezi saiv wapo na unawajua uliwahi kuwapinga? Wananchi watajua namna ya kukwepana na wezi ila watoto wadogo wanaotizama tv na social media wanaona mashoga wanapewa airtime
Bora uwe na wezi na matapeli kila kona kuliko kuna na watu kama kina anko t na mashoga wengine kwenye jamii, wezi saiv wapo na unawajua uliwahi kuwapinga? Wananchi watajua namna ya kukwepana na wezi ila watoto wadogo wanaotizama tv na social media wanaona mashoga wanapewa airtime
Kaka! Mimi nakuelewa sana na wala point yangu haijakaa namna mnavyoitafsiri..
Kwanza kabisa ni ajabu mnafananisha Betting na Ushoga ambao ni laana tena laana ya kuogopwa.
Mimi ninavyojua suala la Kamari ni mfumo ambao umetengenezwa kumuangamiza asie nacho kwa kumbebesha matumaini.
Kamari kwa uhalisia ni mchezo ambao Maskini anatakiwa akae nao mbali sana sababu uhalisia ni kuwa yeye ndio mtaji. Mtu ambae ana uwezo kama wewe kamari haitakuharibia kitu sababu kwanza unaifanya kama kazi lakini umeinvest.
Maskini wengi tunacheza either tupate ya kula au tupate tulichopoteza jambo ambalo probability ni ndogo sana kwake kuwin.
Jambo lingine ni kuwa kwenye kamari kikubwa anachopoteza mtu sio pesa bali uwezo wake wa kufikiri pamoja na muda mwingi ambao kimsingi ukienda umeenda.
Imagine mtu anaelala na mawazo ya kuwa Millionaire kwa sababu tu amewekeza 1,000 au 10,000. Hivi ni kweli maisha ni rahisi kiasi hicho? HAPANA.
Kamari yenyewe imeshakwambia cheza na tumia kiasi ambacho upo tayari kukipoteza lakini wengi wanacheza wanaachwa na maumivu makali. Mwisho mtu anaingia kwenye addiction ya kucheza kwa kila cent yake anayoipata akiamini tu kuna siku atapata.
Je! Atapata lini? Kwa uhakika kiasi gani? Tuache tu kujiangalia sisi lakini pia tuangalie vizazi vyetu. Leo hii imagine watoto wako wanakua huku wakiamini watapata mafanikio kupitia kamari, Maana yake hawatajituma wala kuumiza kichwa kwa ajili ya maisha yao sababu tayari wameshaona kuna sehemu ya kupata kwa wepesi jambo ambalo sio kweli.
Mimi simzuii mtu kubet na wala sisemi kwa ubaya ila naona kabisa kwa sababu ya mindset za wengi baadae itasumbua sana. Tutakuwa na wezi na matapeli kila kona na wataumiza yoyote.
“Mwamuzi atakayeharibu huo mchezo, sio tu kwamba ataondoka kwenye mpira maisha, tutamfungulia na mashtaka ili tumfunge, hatutakuwa na masihara, hilo mimi nalizungumza wazi kwasababu sehemu kubwa wanaotuletea matatizo ni wao.” - Rais wa TFF, Wallace Karia.
@kigogo2014 Screen shot utume bcs najua allowance ulikua hujapokea Lowassa hajaangukia pua still alive ,ushajitafutia mradi wa 2030 tutakutana sitting room ambayo huwa tunakutana , mzee lazima tuwepo ili uishi huwa unanisaidia kujua Script writer wako toka March 2021 huwa nihifadhi kila