@U_fafanuzi @Alphameshack12 @Deo18Tarimo Elimu ya udereva muhimu sana,wengi wanaendesha kwa experiance tu lakini wengi hatuna elimu ya udereva na sheria za barabarani
@ShirimaYvonne@fgdewji Hii biashara imemtoa ndugu yangu,alikwenda kuonyeshwa chimbo dubai na india asee iliyobaki ni historia,amejenga nyumba mbili ndani ya muda mchache sana..namuomba Alla amuongezee zaidi!