๐ Certified Mathematical Doctor.
Half Man, Half Money ๐ฐ
โฝ ChelseaFc , SimbaScFan,
SUA Alumnus ๐
No body got you like i got you. #ThisAndFinallyYes
2026 ยฉ.
"Tell my people that I love them and that they must continue the struggle my blood will nourish the tree that will bear the fruit ๐ of freedom, Aluta Continua" - Solomon Mahlangu
Ndugu @Caamil8 mjanja sana, huku kwa Yanga akitoka hadharani ni sura ya Swala, ikija kwenye Maslahi ya GSM ni sura ya Simba,
Huku Mashabiki wanajiuliza huyu ni Simba au Swala.
50% zinabondwa tu hapa.
@millardayo Sema @Caamil8 anafanya utapeli kwa akili kubwa sana. Yaani anakaa time fulani ikipita analeta update, hapa hakuna cha uwanja wala nini kajamaa kasanii tu. Wakati Said Salim Bakhresa anajenga uwanja mlisikia hizi ngonjera zisizoisha? Vijamaa vinatufanyia usanii

๐ฃ"Umoja wa Simba kuelekea kwenye mkutano tupo pamoja wote, tutapiga kura wote vizuri watapatikana viongozi wetu, TFF Kusimamia Uchaguzi Katiba na Kanuni zinaruhusu na ndio itakuwa vizuri maana pale kutakuwa na uwazi kwa hivyo wala haina shida kabisa."
๐Crescentius Magori.
Rais wa Simba SC na mwekezaji, Mohammed Dewji (@moodewji) yuko hapa uwanjani katika mchezo wa Ligi Kuu tukiwakabili Namungo FC. #NBCPremierLeague#NguvuMoja
๐จ BREAKING NEWS ๐๐
Yanga yafungua kesi dhidi ya Simba kwa madai ya ukatili wa kijinsia wa tarehe 10/10/2026! ๐คฃ
Dah! Derby imehamia mahakamani! ๐๐ฅ
#SimbaVsYanga#UtaniWaJadi