Top Tweets for #SimbaVsYanga
Now you know why Djigui Diarra๐งค is an indisputable started for Mali ๐ฒ๐ฑ๐ฅ
#KariakooDerby
#simbavsyanga
Watz Huu Ni Wakati wa Kukataa Hizi Drama Za maCCM Kuwafanya Watz ni Mandondocha, Niliwaambia Asubuhi Mechi ya #SimbaVsYanga itachezwa tu na Ilikuwa ni Kupotosha/Kuwazubaisha Watz Ili Kufifisha Campaign Kubwa Iliyounganisha makundi Yote Nchini Ya #NoReformNoElection
Simba&Yanga, Court, Msajili, vyama vikaragosi na makundi Mengine, yote yanatumika kufifisha Ajenda Mhim kwa Masilahi ya Taifa Letu, Tusikubali Ndugu Zangu Watz, Tusikubali Kugawanjwa, Tusikubali Kupotoshwa na Tusikubali Kuacha Kupigania #NoReformNoElection #HakunaMbadilikoHakunaUchaguziOktoba25
Taarifa Tulizonazo za Uhakika Ni Kwamba Hizi Drama za Simba&Yanga ni Kwa Lengo Moja Tu Kufifisha Campaign ya Kitaifa ya #NoReformsNoElection
Mechi Itachezwa Ila Wanafanya Hizi Drama Ili Kuwaondoa Watanzania Kwenye Campaign Yetu Kubwa ya #NoReformsNoElection
Watanzania Tusikubaliane na Huu Ujinga Kabisa.

"Watani wa jadi! โฝ๐ฅ Simba vs Yanga kesho ni moto! Timu yako inashinda kwa mabao mangapi? Taja score yako hapa kabla ya mechi! #SimbaVsYanga #WataniWaJadi"
Mimi naiona Yanga yangu ikishinda 3-1๐ฅ

Definitely a step forward for Simba they played a good game indeed, the game also was centred around the official's. Those 2 calls I think those are penalties all day, Fadlu has a team that can challenge and compete for the league.
#SimbaVsYanga #NBCPremierLeague
Looks like Simba decided to take a break from the jungle and explore the streets of India.
#India #lionviralvideo #SimbaVsYanga
๐๐๐๐ซด
@SimbaSCTanzania @YoungAfricansSC
"Tukishindwa kuwafunga,, mnajifunga"๐๐
#yanga #SimbaVsYanga

Na hawatufungi bisha weka pesa๐คฃ๐ฆ๐ฆ
#SimbaVsYanga

Simba vs Yanga today! The biggest rivalry in Tanzanian football is here, and it's sure to be an intense battle on the pitch. #SimbaVsYanga โฝ๏ธ๐
#TajiriLaKihaya
Space ya #SimbaVsYanga imejaa watu balaaโฆ
Na kesho kutwa ndio mwisho wa kujiandikisha kama mpiga kura kwenye
uchaguzi wa mwenyekiti wa kitongoji, mwenyekiti wa kijiji, mwenyekiti wa mtaa, wajumbe wa Serikali ya Kijiji na wajumbe wa Kamati ya Mtaaโฆ
Tupo serious kweli vijana, au swala la
Ukombozi wa nchi hii tumewaachia Vyama vya siasa๐
๐ฐ#Wananchi eeh!, huu โmzukaโ ulipendezesha uwanja na kufurahisha sana ๐๐ป, tunaweza kuushuhudia tena Oktoba 19 Benjamin Mkapa?
#KariakooDerby #SimbavsYanga #LadhaZaLigiKuu
@tplboard @tanfootball @NBCTanzania @azamtvtz @TBConlineTZ @YoungAfricansSC
Wazee wa #UbayaUbwela ๐ฆ, njooni tuzungumze kidogo, uhakika hili โvibeโ linaweza kuonekana tena Oktoba 19 pale kwa Mkapa? ๐๐ป
#KariakooDerby #SimbavsYanga #LadhaZaLigiKuu
@tplboard @tanfootball @NBCTanzania @azamtvtz @TBConlineTZ @SimbaSCTanzania
#KariakooDerby #Challenge
Tuna jambo na followers wetu kuanzia saa 4:30 asubuhi hii hapa Instagram, usiende mbali ๐ฅ
#SimbaVsYanga #LadhaZaLigiKuu
@tplboard @Tanfootball @NBCTanzania @azamtvtz @TBConlineTZ

Umemtambua mchezaji aliyefunikwa usoni?
#KariakooDerby #SimbaVsYanga #LadhaZaLigiKuu
@tplboard @tanfootball @NBCTanzania @azamtvtz @TBConlineTZ

Umemtambua mchezaji aliyefunikwa usoni?
#KariakooDerby #SimbaVsYanga #LadhaZaLigiKuu
@tplboard @tanfootball @NBCTanzania @azamtvtz @TBConlineTZ

Waamuzi wa soka si malaika, na wao hufanya makosa ya kibinadamu. Ila makosa yakijirudiarudia yanakuwa sio makosa ya kibinadamu tena, bali makosa ya kimakusudi.
Waamuzi wameinyima magoli hii mechi!
#ngaoyajamii
#simbavsyanga
#waamuzi
Picha: Mtandao

Simba wamefanya pressing nzuri kipindi cha kwanza, lakini hawajaweza kutengeneza nafasi nyingi. Yanga wanamiliki kila kitu uwanjani, lakini rhythm yao ya mchezo haiko vizuri. Wana hitaji kuongeza kasi ili kudhibiti mechi. Game ni ya Yanga! #SimbaVsYanga
#DERBY Elly Sasii ndiye mwamuzi katika mchezo wa nusu fainali Ngao ya Jamii kati ya Yanga vs Simba itakayochezwa Agosti 8, 2024 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam.
#KariakakooDerby #SimbaVsYanga #NgaoyaJamii #TFF
#KonceptTvUpdates

#KariakooDerbyU17 Magoli matatu ndani ya dakika saba (7).
FT: Simba 1-2 Yanga
Ilikuwa LIVE #AzamSports2HD
#U17PremierLeague #LigiKuuYaVijanaU17 #U17 #DerbyYaKariakoo #SimbaSCU17 #YangaSCU17 #SimbaYangaU17 #SimbaVsYanga
#KariakooDerbyU17 Tabu kotekoteโฆ..
FT: Simba 1-2 Yanga
Ilikuwa LIVE #AzamSports2HD
#U17PremierLeague #LigiKuuYaVijanaU17 #U17 #DerbyYaKariakoo #SimbaSCU17 #YangaSCU17 #SimbaYangaU17 #SimbaVsYanga

75โ | #KariakooDerbyU17
Simba 1-2 Yanga
Iko LIVE #AzamSports2HD
#U17PremierLeague #LigiKuuYaVijanaU17 #U17 #DerbyYaKariakoo #SimbaSCU17 #YangaSCU17 #SimbaYangaU17 #SimbaVsYanga

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.8M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.5M followers

X 
@x
60.8M followers














