@SuluhuSamia Hongera sana Rais wetu. Umeendelea kuipeperusha vyema bendera ya taifa lako mama. Kila lenye kheri katika hiyo safari. Urudi ukiwa na tabasamu pana zaidi. Hatujafungwa mikono, Mkubwa Mungu.
Mwonekano wa Uwanja wa Samia Suluhu Hassan jijini Arusha ambao ujenzi wake unaendelea.
Uwanja huu ni moja ya viwanja vitakavyotumika wakati wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027.
@bbcswahili Wapuuzi hawana jipya kenge hawa. Na bado hata huko mliko mtaendelea kufanyiwa hivyo hivyo mkiendelea na upuuzi wenu huo. Kwa hiyo naye jamaa alifanyiwa hivyo hivyo?
@kderderian1@EP_HumanRights “Have you failed to confront America, Iran, and Israel as well? Why are you fixated only on Tanzania? Stop the nonsense and leave our Tanzania alone.”
@zizujo01 Baba wa imani, mzalendo, kiongozi kweli kweli na mwanamendeleo aliyetubumbulua wananchi nchi ilivyo na namna tunaweza jifanyia wenyewe bila kutegemea wahisani. Papa mtoa matongotongo utakumbukwa daima. Rest easy papaa
@Innocen89950594@Migosatz Maswali ya kitoto haya. Acha kutuletea ujinga wewe ni mtu mzima. Ila uzuri wake umefanikiwa kuwapata wajinga wenzako wasio na uwezo wa kuendana na mfumo wa maisha kazi yenu kukariri pekee.🚮
@ikulumawasliano Here we go, hongera sana Mh. Rais kwa ubunifu wako mkubwa wa kiuongozi unaoing'arisha Tanzania katika maeneo tofauti tofauti. Tuendelee kusonga mbele, pamoja tutavuka. Tanzania oyeeee