Kadri ninavyozidi kukua na kuona mengi ya maisha, ndivyo ninavyozidi kuelewa kwa nini baadhi ya watu huchagua kuishi mbali na kelele za dunia , maisha ya utulivu, faragha, na amani ya moyo.
Tukikosoa, tukishauri na kuikemea serikali tukiwa mbali, mnasema fimbo ya mbali haiui nyoka.
Wewe ulioko hapo Kongowe umeshaua nyoka wangapi na fimbo yako ya karibu?
"Tuko na maadui wengi. Maadui wetu sio Wakenya, maadui wetu sio Watanzania, maadui wetu ni kukosa ajira, umaskini, na kukosa maendeleo." - Rais wa Kenya, William Ruto akihutubia Bunge Dodoma