@PatrickObure18 @millardayo Watu wanaeza wakahisi ni utani lakini kweli mbasa kiumbe alikua akifunga goli uwanja wa mara secondary lazima ateleze na uwanja hauna nyasi ๐๐ na akikukazia macho akikuangalia lazima mwili uume ๐คค
@EduTalkTz Mbona sababu ya msingi hapo ipo kabisa asee sababu ya msingi hapo ni kwamba waliamua kuchua pesa mingi zaidi wakaachana na mwenye pesa kidogo basi.