@wasafifm Sawa kufanya mazoezi mnaona sasaivi ni kitu cha kutamba itakuja siku simba ndiyo mwenyeji yanga tutaenda kulala taifa alafu tutasikia milio ๐ ๐คฃ
@Mzeewajambia Ingekuwa tunahitaji kujua bas tungeuliza avic analipa nani?,kambi zetu nje ya nchi analipa nani?, mishahara analipa nani?, bonus za mechi anatoa nani?, na wewe pia anakulipa nani?๐คฃ๐คฃ๐คฃ Maana unaemfanyia kazi anafurahi akikuona unavoangaika kuwaaminisha yanga hoja zako za kifara
@jemedarisaid Usifosi vita na yanga kaka wakikuamulia kukujibu utaama hii nchi unafosi sana hii klabu inawatu Zaid ya mil 1 wakikuamulia utaona ata hiyo kazi chungu punguza kiherehere
@sportshqtz Wewe udhamin sio msaada ni biashara boya wewe mtu ameteketeza b2 apo unasema fadhila za tff kweli akili ndogo sana watanzania tunazo mtu anakuja kutuzamini tunaona tunamfanyia msaada kumkubalia ๐คฃ๐คฃakati sisi ndiyo tunahitaji ela yake
@babalao__ Ila wabongo ni wajinga sana hawajui maana ya temporary, kuna timu bora na timu kubwa hii rank imebase kwenye timu bora kwa kipindi cha miaka 5 ukiangalia eti yanga wamempita tp mazembe
@chapo255 Tatizo la watanzania ni waoga sana kwahiyo mtu akiwa raisi hasemwi kwa lolote ni Mungu huyo sio na hii kitu sisi wabongo itatutesa vizazi na vizazi almost democracy in freedom of speech ukiona unsjinyima hii haki bas jiandae kutawaliwa kifara ๐ฎ
@rovicofficial__ Don't try nigga don't do shit to satisfy ur girl energy inaharibia sana watu maisha magonjwa ya moyo ni mengi sana kwa vijana nowadays so ndugu yangu usitumie huu upuuzi kwa ubora wa afya yako wengine ndiyo wanakunywa na panado ohhoo My God watu wanapenda sana kujiua ๐ฎ