Leveraging diversity, decolonizing education and encouraging interdiscplinery thought using timiakatemia method🔭
Currently running Global Development Hack 👇
Hilo wazo unaloona huwezi kulitimiza, Mungu asingeliweka ndani yako kama anajua huwezi kulitimiza.
Uwezo unao
Wewe umeumbwa kwa Mfano wa Mungu.
#AchaUvivu#NaKujilizaliza
Timiza hilo wazo, Mungu yupo na wewe.
Kama una Kampuni au Taasisi
Usiruhusu MATANGAZO ya AI yatumike.
(AI generated posters) - Kwa sababu yanakosa SOUL
SOUL ni Muunganiko wa kihisia kati ya kampuni na Wadau/wateja unaojengwa na BRANDING
Ukiua Muunganiko wa kihisia kati ya kampuni na Wadau, ni Ngumu kuujenga upya
My friend once said
"Young people are often:
spoken about, but not listened to,
targeted in campaigns, but excluded from policy tables,
used for mobilization but not trusted with leadership."
Wambie kwenye kila mabaya yangu, wakuambie na zuri langu hata moja tu, maana hakuna binadamu mwenye Mabaya tu au mwenye mazuri tu, na huo ndio ukamilifu wa Mwanadamu.
"Ukamilifu wa mwanadamu unatokana na mapungufu yake yakijumlishwa na mazuri yake."
#Studentofthebestteacher
Labda hii itakusaidia...
Sifa ya binadamu ni kuto-kukamilika
Hii ni kwa sababu ukuaji wa kisekta unatofautiana
Unaweza kuwa
Kiuchumi una miaka 78
Kijamii una miaka 15
Kimahusiano una miaka 5
Kitaaluma haujazaliwa 😅
.......Jikague na ikusaidie kukubali kupata usaidizi
Miaka inavyoenda ndio najua kuwa watu NOMA tunaowaona wataondoka. Kwahyo wewe ndio utakuwa mtu NOMA hapo baadae,
Kwahyo ongeza jitihada kwenye kitu ulicho-bora katika.
Usiache kujenga network na watu NOMA
You are the future President, Business person and more you as you wish.
"Show up (Jitokeze) uonyeshe unachokijua, USIPOJITOKEZA mtu asiyejua kukuzidi atachukua nafasi yako"
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
"Show up every day, show your Talent, if you dont show up, someone less talented will take your chance"
Kama mwenyekiti asipokuwepo anaweza kusemwa mbele ya katibu, Basi katibu pia asipokuwepo anaweze kusemwa mbele ya Mwenyekiti...... #Fanleck#SkilizaWadau
Kwa wale wanaouza bidhaa na sio watoa huduma, nimewaandalia Landing Page maalum ambayo unaweza kutumia kuweka bidhaa zako kisha kuanza kufanya matangazo online uzuri wake sasa ina sehemu ya bidhaa ambayo bidhaa zote za kwenye mfumo huoneka hivyo hata usipo tangaza wewe bidhaa wateja wana weza kuona bidhaa zako.
Unafanya kazi hivi:
Unaweka bidhaa zako kwenye landing page
Unaweka maelezo yote muhimu
Unaweka namba yako ya simu au WhatsApp
Mteja kutoka kwenye tangazo hato chat na wewe ila ataview landing page kisha ndo atakuta mawasiliano yako hii itasaidia sana kutumia pesa kidogo sana wakati wa kutangaza
Kisha mteja anafanya uamuzi wa kununua au kutonunua
Hivyo unapopigiwa simu au kutumiwa ujumbe, mara nyingi mtu huyo tayari ana uelewa mzuri wa bidhaa yako.
Anza sasa
Tembelea https://t.co/Hbbp6Frl9V ujisajili na uanze kuuza bidhaa zako.
Unaweza:
Kupost bidhaa zako
Kuweka link kwenye bio yako
Au kuboost link hiyo kwenye matangazo
Na utaanza kuona wateja wakimiminika kwa gharama ndogo zaidi ya matangazo.
Hongera kwa Dkt. Sang’udi Sang’udi kwa kufanikiwa kupata ufadhili na msaada wa kiufundi kupitia Google Health AI Developers Foundation Program!
Dkt. Sang’udi, mhitimu wa Programu ya Mandela Washington Fellowship (MWF) wa mwaka 2025 na Mwanzilishi Mwenza wa SarataniAI, anaendeleza ubunifu wa uchunguzi wa saratani unaotumia akili bandia kupitia modeli ya MedGemma— inayoimarisha utambuzi wa mapema wa maradhi, kuongeza usahihi wa vipimo, na kupanua huduma za uchunguzi zinazoweza kufanyika katika maeneo yenye rasilimali finyu.
Kazi hii inaonyesha jinsi uwekezaji wa Marekani katika watu, ubunifu, na teknolojia unavyoleta matokeo halisi—kulinda afya, kuimarisha mifumo, na kuendeleza ustawi wa pamoja kwa Tanzania na Marekani.
If young people develop the right mindset, practical skills, creative confidence, and real market experience within supportive ecosystems, then they will create sustainable livelihoods, build enterprises, and drive community development.
#TheMarkInnovationFoundation#BeyondGPA