"Ugonjwa huu wa Leptospirosis unawapata watu wanaofanya kazi kwenye mashamba ya miwa na mpunga sababu hawa wadudu wanapenda majimaji na hawa watu wanafanya kazi kwenye hizi sehemu na hawavai vitu vya kujikinga"- Dkt. Abdul Katakweba, Mtafiti wa ugonjwa huo
#DriveShow
Does #Tanzania have a ban on pregnant students and adolescent mothers? It does.
Does the government have a policy that enables school officials to discriminate against them and expel them from public schools? It does.
New @hrw findings: https://t.co/CTulglgWyO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo akiwa katika ziara yake Mkoani Lindi amegoma kuzindua barabara ya Liwale Mjini ya KM 1.2 kwa sababu haijawekwa taa za barabarani “Mkataba ni kujenga barabara za lami zenye taa, leo mnaniambia nizindue barabara haina taa? #MillardAyoUPDATES