Influencers like Nyakundi Mariah Mange and Sativa benefit from outrage driven content that targets young people with distorted narratives. Their business is tension not truth. Staying alert helps citizens Protect Tanzania Peace #RejectCommercialActivists
Halafu bado kuna hawa wanasema eti kuna maandamano yasiyo kikomo 9 Dec!..
Wazazi kaendi na watoto wenu muwaonye juu ya haya madudu ya hawa terrorists!
Hawa ni wachochezi ndiyo maana wamewapa misala watoto wenu halafu wao wamejificha wanaendelea ku tweet tu!
#RejectCommercialActivism
Huu mgogoro tunaouona unaiga mifumo iliyowahi kutumiwa katika mataifa yenye utajiri wa rasilimali kuweka shinikizo la kiuchumi, ushawishi wa kisiasa, na upotoshaji kupitia vyombo vya habari. Ni lazima tujifunze kutokana na historia kabla haijajirudia hapa kwetu.#HandsoffTanzania
#KataaWachochezi