Jali zaidi juu ya tabia yako kuliko sifa yako, kwa sababu ni tabia yako ambayo inakufafanua wewe ni nani, wakati sifa yako ni ile tu ambayo wengine wanafikiria. #ElimikaWikiendi
Je wajua?, Kwa mujibu wa Utafiti uliochapishwa na jarida la "Journal of sexual medicine" ulionesha kuwa Wanaume wafupi hufanya Zaidi Mapenzi na wenza wao tofauti na watu warefu
#ElimikaWikiendi
Je wajua?, Katika kabila la wodaabe linalopatikana nchini Cameroon kuna msimu wa kujamiana ambapo mwanaume hufanya ngono na mwanamke yeyote yule anayemtaka
#ElimikaWikiendi