Hili neno Ununuzi umezungumza Kwa Fusuli kaka Joram, Na hasa lifike kwa wanafunzi na wataalamu wa kada ya Ununuzi na ugavi kwa Taasisi za Umma na wale wanaotumikia taasisi Binafsi kuwa Neno Sahihi ni UNUNUZI na si MANUNUZI kwa kimombo "Procurement"
@psptbofficial@PPRA
Fallen tech billionaire Sam Bankman-Fried arrives for fraud sentencing, as prosecutors seek up to 50 years in prison
Follow live https://t.co/49GUEzXUmt
#JUSTKAUJUMBE.
Nusu ya Uzuri wa Binadamu upo Katika ulimi wake, Kwa Kauli njema na thabit Kwa kila amuonae kwake. Tuishi Kwa kuwa na Kauli nzuri Kwa ndugu jamaa na rafiki zetu.
#JUSTKAUJUMBE.
wengi wetu tunaamini kuwa pesa ndio kila kitu, ila Amani ya Moyo na Afya njema ndio kila kitu Katika Maisha yetu, Tuzilinde Afya zetu na tudumishe Upendo, Amani Kwa ndugu na jamaa zetu.
.
#JUSTKAUJUMBE
Inapotokea umeanguka pahala Fulani, Kamwe usidiriki Katika majuto, Bali tambua kuwa ni sehemu ya mapitio yako. "Amka na usonge mbele..!"
.