Ndugu Benezeth Ruta, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya PSPTB alipotembelea Banda la PSPTB kwenye maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa Dar es salaam ( SABASABA) na kukabidhiwa zawadi na Bi Shamim Mdee Meneja Masoko na Uhusuano PSPTB. @gmbanyi @urtmof @fpssatanzania
Aliyeshika zawadi ni Prof. Geraldine Rasheli Afisa Mtendaji Mkuu wa GPSA alipotembelea Banda la PSPTB kwenye maonesho ya Sabasaba. @gmbanyi @kazinza9373 @gpsatanzania @ppra_tanzania @paulbilabaye @urtmof @maelezonews
Mhe. Ashatu Kijaji (Mb) Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara akisikiliza kwa makini maelezo mbalimbali kutoka Kwa Mkuu wa Banda na Meneja Masoko na Uhusuano wa PSPTB Bi Shamim Mdee alipotembelea banda hilo wakati wa maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam.