@SimbaSCTanzania Maamuzi yoyote yatakayotolewa na uongozi, tuyaunge mkono nami nakiri hadharani kwa kuwashukuru uongozi mzima wa simba pamoja na wachezaji #msipeleketimuuwanjanileo
@SimbaSCTanzania Naweza kusema huu sasa ni ukondoo umepitiliza, bila aibu mnatupostia. So hivi vyote vilitumika kwao, iweje kwetu vipigwe marufuku? Who is behind all this?
@Hussein15Mo Punguza upole ndugu captain, tukionewa dai haki kwa manufaa ya team. Haki haiombwi inadaiwa, mashabiki tupo tayari na tunawaombea, pambaneni you have our backup