Sifa ya kuwa African Princess ni kukomaa na ndoto yako na kuhakikisha iwe iwavyo ni lazma inatimia. Yaani kuziaminia ndoto zako.
Ukitumia Kinga utailinda afya yako,Ukiilinda afya yako, inamaanisha unaziaminia ndoto zako,
@sitetereki @smartgeneration_tz
@nikkwapili@officialcza1
MY manager @MokoBiashara imekua miaka miwili mizuri ya Kufanya kazi na wewe, Mchango wako kwangu ni mkubwa na hauhesabiki, Ubunifu, Speed na Kujiongeza kwako kumetutoa huko hadi hapo tulipo, Its ur big Day Bwana Meneja, acha tusherekee afu mbio ziongezekee zaidi na zaidi