“Kuzuia ni jambo lisifanyike, mchakato usifanyike; kususia ni mchakato unafanyika lakini hujauridhia, mimi ninachosema ninaweza nikazuia kwa kutoshiriki kwa kutofanya mchakato usikamilike” - Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, @ExMayorUbungo
Tazama mahojiano yote kwenye YouTube ya CloudsMedia #SkanaShow
Kwenye mahojiano yangu na Mhe. Hamis Taletale (Babutale) nilipomuuliza kuhusu masuala ya utekaji alieleza kwamba hawezi kuzungumzia kwasababu hana ushahidi wa jambo hilo kwani hakuna mwananchi wa jimbo lake ambae amewahi kutekwa.
"Ukizungumza mkwamo unazungumzia kwamba kwa nini sisi tuko hapa, wenzetu Marekani wapo huku, sisi utawala ndio umetufikisha hapa, hata hao wakoloni ndio wametufikisha hapa, wameturudisha nyuma ili wafike mbele" - Hamisi Taletale, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki kwenye SKANA na @officialcza1.
Mahojiano yanapatikana kwenye YouTube ya CloudsMedia
“Huwezi kuweka mikakati yako hadharani lakini sisi tunasema tunashiriki tukipambana, tunapambana tukishiriki, sio maneno matupu. Tutatumia muda wa kampeni kuwa-mobilize Watanzania kulinda heshima ya kura yao” - @zittokabwe kwenye SKANA na @officialcza1#SkanaCloudsMedia
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
@moddyyakubu Happy birthday Prof, ni vile tu sisi Gen Z utani, ucheshi na Masikhara ni sehemu ya mambo yanayotuunganisha kila siku lakini kiukweli elimu yako inatufikia ipasavyo and We real appreciate kwa darasa la bure kuhusu Afya zetu🙏🏿🙏🏿
Kwenye Vipindi vya redio vya asubuhi kimebaki Power Breakfast tu cha Clouds FM. Kina Masoud Kipanya na Kipindi chao wamebaki kwenye Ubora wao kwa Muda mrefu na wanajadili Masuala makubwa kwa Utulivu bila Kuegemea Upande wowote. Wengine wamebaki kupiga kelele na Kusifia kila kitu.
MBAPPE aitwe akalishwe chini na aambiwe yale maneno ya busara aliyoambiwa Mzee wetu JK kwenye uchaguzi wa chama 1995 kwamba bado muda unao, wewe bado ni Kijana!! Messi alistahili zawadi hii anapokamilisha safari yake ya soka ambalo amelitumikia kwa nidhamu ya hali ya juu🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Moja wapo ya watu mashuhuri ambao lazima uwaone @smartgen_tz Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere, na jana kupitia platform yao ya #SmartLifeStyle waliweza kumuenzi vizuri sana.Kama nataman enzi zile na mimi ningekuepo hivi , hongera Ceo @officialcza1 kwa kumuenzi mshua