Sasa kulingana na utafiti uliofanywa na taasisi ya zipRecruiters, umeonyesha kuwa 44% ya graduates huko nchini marekani wanajutia kusoma kozi walizosoma, na hizo kozi tajwa hapo juu ndio tano ambazo zimejutiwa zaidi. (2/3)
2/2:Hii inatokana na matumizi ya vifaa vya muziki hasahasa headphones katika unsafe levels (kuwa katika sauti ya juu sana).
-
Unatumia mbinu gani kuyalinda masikio yako? Tuambie hapa chini kisha fuatilia post inayofuata
#SmartGeneration#NoaKisuUkaleNyama
1/2:Sasa tafiti kama zilivyoainishwa na shirika la BMJ Global Health zinaonyesha kuwa zaidi ya Vijana Billioni 1 walioko katika umri miaka 12 -34 wako hatarini kupoteza uwezo wa kusikia pindi watakapokua katika umri mkubwa.
Kuna kasauti ka hovyo kichwani hukwambia “Sio Kwa Ajili Yako” yule demu Mkali sana “Sio kwa Ajili yako”, utaratibu wa kusafiri kwa ndege “Sio Kwa Ajili Yako”, Kuishi mitaa flani flani “Sio Kwa Ajili yako”. Kaepuke kwa bidii, kanajenga ukuta wa zege kati yako na mafanikio yako.
NI IPI TOFAUTI KATI YA CONTENT CREATOR NA INFLUENCER?
@rollymsouth alitupatia mtazamo wake alipopita kwenye #TenOnTen
Mtazamo wako wewe ni upi juu ya hili?
Maswali yalikuwa 10, so fungua link hii hapa chini kupata madini yote.
https://t.co/T6vIZTIN0q
Ujio wa Bi.Zuhura Kassim Ali, Mke wa makamu wa Kwanza wa Rais Wa serikali ya mapinduzi Zanzibar (SMZ) kwenye ofisi zetu za @smartgen_tz .
#NoaKisuUkaleNyama
Jana tulipata ugeni wa Bi.Zuhura Kassim Ali,Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) na alipokelewa na CEO wetu @officialcza1
Alifika ili kujionea namna tunavyoendesha shughuli zetu za kila siku, na kufahamu kuhusu miradi tunayoisimamia. Kupitia taasisi anayoisimamia ya Haiba Women Foundation sasa tutaanza kushirikiana.