"Duniani the most powerful tool ni network. Unaweza kuwa umesoma sana ila bila network you're as poor as everybody. Umtafute nani, kwa wakati gani, kwa sababu gani na anapatikana wapi." Mch. Gwajima
@Makaveli_255 Kaka kuna muda napata ridhiki hadi najiuliza hivi Mungu angekuwa binadamu ingekuwaje? Kuna time uko down and boom something happens out of nowhere unapata hata 10K
@George_Ambangil@JMariotz Hii ni risk united wameamua kuingia Rash anatakwa na watu wengi hata Bayern wanamtaka ila kagoma kupunguza mshahara wake while wanatoa pesa nzuri kwa united. Rash ndio ana maamuzi kwa sababu career yake iko rehani swala la mshahara united hawashindwi kumlipa
Top clubs can’t allow the market to move like this man. They should so something about it. I mean bidding 150m for Alvarez is crazy let alone Atletico turning it down.